Refarii ‘mpenzi wa jinsia moja’ kulipwa fidia
ANKARA, UTURUKI
MWAMUZI mmoja nchini Uturuki, Halil Dincdag, aliyefukuzwa kazi kwa tuhuma ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja, ameshinda kesi dhidi ya shirikisho la soka la nchini humo.
Mahakama nchini Uturuki imeamuru shirikisho hilo kumlipa fidia mwamuzi huyo kiasi cha dola za Marekani 8,000 kutokana na kushinda kesi hiyo.
Dincdag amefurahia ushindi huo na kusema kuwa ni ushindi kwa watu wanaobaguliwa kijinsia hasa katika michezo nchini Uturuki.
“Sio ushindi wangu peke yangu ila ni kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili29 Dec
Refarii 'mpenzi wa jinsia moja' kulipwa
10 years ago
Mtanzania21 Jan
Wanaume wanaofanyiwa tohara kulipwa fidia
Na Mwandishi Wetu
KAMPENI ya tohara kwa wanaume, mashariki na kusini mwa bara la Afrika, inayofadhiliwa na Serikali ya Marekani na Umoja wa Mataifa (UN), imeonyesha mafanikio, licha ya kukosolewa.
Utafiti mpya unaonyesha Marekani sasa inafikiria kubadili sera kwa kuruhusu fidia kulipwa kwa wanaume, ambao watalazimika kukosa kazini wakati wakiuguza majeraha yanayotokana na tohara.
Profesa wa Sera ya Afya ya Usimamizi katika Chuo Kikuu cha North Carolina nchini Marekani, aliliambia gazeti la...
11 years ago
Habarileo12 Jul
Kidunda kuanza kulipwa fidia Julai 21
MAMLAKA ya Maji Safi na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam, (DAWASA), imetenga kiasi cha sh bilioni 7.9 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wakazi 2,600 watakaohamishwa katika kijiji cha Kidunda wilayani Morogoro kupisha ujenzi wa bwawa la maji na barabara.
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Mahakama yaamuru wananchi kulipwa fidia
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, imeiamuru Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuwalipa fidia wananchi 43 wanaoishi kandokando ya barabara ya Mianzini hadi Timolo, ili wapishe upanuzi wa barabara hiyo yenye...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FfVDU4FmPT4/Vo13rVOfqvI/AAAAAAAIQ9Q/7d8jEvTDf98/s72-c/download%2B%25281%2529.jpg)
MAKALA YA SHERIA: AINA ZA FIDIA UNAZOWEZA KULIPWA SERIKALI INAPOTWAA ARDHI YAKO.
![](http://2.bp.blogspot.com/-FfVDU4FmPT4/Vo13rVOfqvI/AAAAAAAIQ9Q/7d8jEvTDf98/s640/download%2B%25281%2529.jpg)
1.FIDIA YA ARDHI NI NINI...Fidia ...
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Binyavanga:Mimi ni mpenzi wa jinsia moja
9 years ago
BBCSwahili19 Sep
Obama:Katibu wa jeshi ni mpenzi wa jinsia moja
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
WAZIRI Muhongo amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo kulipwa fidia ni wezi sawa na wezi wa maofisini wa mali za Umma
Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwingulu Nchemba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.Wa kwanza kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda.
Na.Nathaniel Limu-Singida
WAZIRI wa NIishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (MB), amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo ili waweze kulipwa fidia wakati hawastahili, ni wezi sawa na...
11 years ago
BBCSwahili13 Jun
Refarii alituoonea Croatia Kovac