Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaume wanaofanyiwa tohara kulipwa fidia

Na Mwandishi Wetu
KAMPENI ya tohara kwa wanaume, mashariki na kusini mwa bara la Afrika, inayofadhiliwa na Serikali ya Marekani na Umoja wa Mataifa (UN), imeonyesha mafanikio, licha ya kukosolewa.
Utafiti mpya unaonyesha Marekani sasa inafikiria kubadili sera kwa kuruhusu fidia kulipwa kwa wanaume, ambao watalazimika kukosa kazini wakati wakiuguza majeraha yanayotokana na tohara.
Profesa wa Sera ya Afya ya Usimamizi katika Chuo Kikuu cha North Carolina nchini Marekani, aliliambia gazeti la...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wanaume wakimbia tohara Kenya

Wanaume wanaokwepa kutahiriwa wajikuta taabani kwa kufanyiwa kitendo hicho kwa lazima Kenya

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaume 400,000 wafanyiwa tohara

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imesema wanaume 400,000 wamefanyiwa tohara katika Mikoa ya Tabora, Njombe na Iringa kuanzia mwaka 2013 hadi sasa.

 

11 years ago

Habarileo

Kidunda kuanza kulipwa fidia Julai 21

MAMLAKA ya Maji Safi na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam, (DAWASA), imetenga kiasi cha sh bilioni 7.9 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wakazi 2,600 watakaohamishwa katika kijiji cha Kidunda wilayani Morogoro kupisha ujenzi wa bwawa la maji na barabara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahakama yaamuru wananchi kulipwa fidia

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, imeiamuru Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuwalipa fidia wananchi 43 wanaoishi kandokando ya barabara ya Mianzini hadi Timolo, ili wapishe upanuzi wa barabara hiyo yenye...

 

9 years ago

Mtanzania

Refarii ‘mpenzi wa jinsia moja’ kulipwa fidia

Halil DincdagANKARA, UTURUKI

MWAMUZI mmoja nchini Uturuki, Halil Dincdag, aliyefukuzwa kazi kwa tuhuma ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja, ameshinda kesi dhidi ya shirikisho la soka la nchini humo.

Mahakama nchini Uturuki imeamuru shirikisho hilo kumlipa fidia mwamuzi huyo kiasi cha dola za Marekani 8,000 kutokana na kushinda kesi hiyo.

Dincdag amefurahia ushindi huo na kusema kuwa ni ushindi kwa watu wanaobaguliwa kijinsia hasa katika michezo nchini Uturuki.

“Sio ushindi wangu peke yangu ila ni kwa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: AINA ZA FIDIA UNAZOWEZA KULIPWA SERIKALI INAPOTWAA ARDHI YAKO.

Na  Bashir  YakubKawaida  serikali  hutwaa  maeneo. Huhamisha  wahusika  wamiliki  na  kuchukua  eneo  kwa  malengo  maalum  yaliyokusudiwa. Yaweza  kuchukuliwa  nyumba yako, kiwanja,au  hata  shamba. Mara  kadhaa  serikali  hufanya  hivi  panapo  mahitaji  maalum  ya shughuli  za  umma  kama  ujenzi  wa  miundombinu  kama  barabara  reli, huduma za  umeme  na  maji,  ujenzi  wa  shule vyuo, vituo  vya  afya  na  miradi  mingineyo  kwa  manufaa  ya umma.


1.FIDIA  YA  ARDHI NI NINI...

Fidia ...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA NKASI AFUNGUA RASMI KAMPENI YA TOHARA KWA WANAUME MKOANI RUKWA LEO

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Iddi Hassan Kimanta akihutubia katika hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya Tohara kwa wanaume Mkoani Rukwa iliyofanyika kimkoa katika Tarafa ya Challa Wilayani Nkasi. Akihutubia katika hafla hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo Injinia Stella Manyanya Mkuu huyo wa Wilaya amesema hadi kufikia mwezi wa tisa mwaka huu 2014 Mkoa wa Rukwa unatakiwa uwe umeshafanya tohara za wanaume 22, 000 ikiwa ni agizo la kitaifa ambapo hadi sasa jumla ya wanaume 7,000...

 

11 years ago

Dewji Blog

WAZIRI Muhongo amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo kulipwa fidia ni wezi sawa na wezi wa maofisini wa mali za Umma

DSC07688

Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwingulu Nchemba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.Wa kwanza kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda.

Na.Nathaniel Limu-Singida

WAZIRI  wa NIishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (MB), amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo ili waweze kulipwa fidia wakati hawastahili, ni wezi sawa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani