Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaume wakimbia tohara Kenya

Wanaume wanaokwepa kutahiriwa wajikuta taabani kwa kufanyiwa kitendo hicho kwa lazima Kenya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaume wakimbia vipimo

WANAWAKE wengi wa Tarafa ya Mwese katika Halmashauri ya Wilaya ya  Mpanda mkoani  Katavi, wanalazimika kujifungulia nyumbani kutokana na kunyimwa huduma kwenye kliniki baada ya  kushindwa  kwenda na waume zao kupimwa afya. Hayo yalielezwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Wanaume wanaofanyiwa tohara kulipwa fidia

Na Mwandishi Wetu
KAMPENI ya tohara kwa wanaume, mashariki na kusini mwa bara la Afrika, inayofadhiliwa na Serikali ya Marekani na Umoja wa Mataifa (UN), imeonyesha mafanikio, licha ya kukosolewa.
Utafiti mpya unaonyesha Marekani sasa inafikiria kubadili sera kwa kuruhusu fidia kulipwa kwa wanaume, ambao watalazimika kukosa kazini wakati wakiuguza majeraha yanayotokana na tohara.
Profesa wa Sera ya Afya ya Usimamizi katika Chuo Kikuu cha North Carolina nchini Marekani, aliliambia gazeti la...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaume 400,000 wafanyiwa tohara

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imesema wanaume 400,000 wamefanyiwa tohara katika Mikoa ya Tabora, Njombe na Iringa kuanzia mwaka 2013 hadi sasa.

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA NKASI AFUNGUA RASMI KAMPENI YA TOHARA KWA WANAUME MKOANI RUKWA LEO

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Iddi Hassan Kimanta akihutubia katika hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya Tohara kwa wanaume Mkoani Rukwa iliyofanyika kimkoa katika Tarafa ya Challa Wilayani Nkasi. Akihutubia katika hafla hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo Injinia Stella Manyanya Mkuu huyo wa Wilaya amesema hadi kufikia mwezi wa tisa mwaka huu 2014 Mkoa wa Rukwa unatakiwa uwe umeshafanya tohara za wanaume 22, 000 ikiwa ni agizo la kitaifa ambapo hadi sasa jumla ya wanaume 7,000...

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhasama baada ya Tohara ya lazima Kenya

Uhasama waibuka Magharibi mwa Kenya baada ya watu wa jamii ambazo haziwapashi tohara kulazimika kupitia kisu cha ngariba

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanaume “vicheko” Kenya



WANAUME nchini hapa wamepokea kwa furaha kusainiwa kwa sheria itakayokabiliana na vitendo vya unyanyasaji hususan majumbani. Sheria hiyo iliyosainiwa na wiki iliyopita na rais Uhuru Kenyata, inatarajiwa kuwapa ahuweni wanaume waliokuwa wakipigwa na wake zao na kushindwa kuripoti matukio hayo polisi.Matukio ya wanaume nchini Kenya kupigwa na wake zao yamezidi kuongezeka na kuhatarisha amani katika familia.Baadhi ya wanaume walisema wamekuwa wakipigwa na wake zao mara kwa mara na kuwafanya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakodi wanaume kutoka Kenya

>Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo amesema tatizo la ulevi kupindukia wilayani humo, limewaathiri wanaume kiafya na kuwataka watendaji kulivalia njuga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani