Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sure Boy agoma penalti

Kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’ ametaka kocha wake asijisumbue kumpanga katika orodha ya watakaopiga penalti endapo Azam FC itafikia hatua hiyo dhidi ya El Merreikh ya Sudan kesho kwenye Uwanja wa Nyamirambo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Du! Penalti

Na Saleh Ally, Alexandria
YANGA wameonyesha juhudi za kutosha, lakini wakajikuta wakiondolewa kwa matuta kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, jana usiku. Yanga inaendeleza rekodi yake ya kutowaondoa Waarabu kwenye michuano ya kimataifa.
Mshambuliaji Said Bahanuzi ndiye atakayejilaumu zaidi, kwani alikuwa anakwenda kupiga penalti ambayo ingewaondoa Al Ahly lakini akapiga nje.

Awali  katika penalti...

 

9 years ago

Mtanzania

Terry alilia penalti

John-Terry_3019132KIEV, Urusi

BEKI wa Chelsea, Mwingereza John Terry, amedai kuwa timu yake ilinyimwa penalti katika mchezo wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) dhidi ya Dynamo Kiev ambapo timu hizo hazikufungana.

Katika mchezo huo wa kundi G uliopigwa Olympic Stadium nchini Urusi, kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas, aliangushwa ndani ya eneo la hatari na mlinzi wa Dynamo Kiev, Sergiy Rybalka, lakini mwamuzi Damir Skomina, aliamuru mchezo uendelee, jambo ambalo Terry anahisi si sahihi.

“Bado tupo vizuri,...

 

10 years ago

Mwananchi

Penalti zawabeba Mtibwa, Polisi

Mtibwa Sugar na Polisi Zanzibar zimetinga nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi kwa mikwaju ya penalti.

 

11 years ago

GPL

Penalti za Cannavaro, mbwembwe 100%

Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Lucy Mgina na Sweetbert Lukonge
NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ana mbwembwe, baada ya kufanikiwa kufunga penalti kwa ufundi katika mechi dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Taifa, juzi, ametoa tambo zake kuwa huwa anapiga penalti 15 kabla ya kuingia uwanjani. Cannavaro ambaye hiyo ni penalti yake ya pili kupiga kiufundi na kufunga baada ya kufanya...

 

10 years ago

GPL

Penalti ya Ajibu yamliza Okwi

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi. Nassor Gallu,
Dar es Salaam
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, ameweka wazi kuwa alitaka kupiga penalti ambayo Ibrahim Ajibu alipiga na kukosa juzi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ndanda kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. Katika mchezo huo ulioisha kwa Simba kushinda mabao 3-0, Simba walipoteza penalti katika dakika ya 12 baada ya Ajibu kuupaisha mpira juu ya...

 

11 years ago

GPL

Penalti ya Kiiza yazua mazito Yanga SC

Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Hamis Kiiza. JINAMIZI la wachezaji wa Yanga kukosa penalti kisha kuandamwa limeonekana kuendelea ambapo sasa makubwa yamemkuta mshambuliaji wa timu hiyo, Hamis Kiiza baada ya kukosa penalti katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC, juzi. Kiiza, raia wa Uganda, alikosa penalti…

 

9 years ago

Habarileo

Kamusoko, Msuva wakosa penalti tena

WACHEZAJI Thaban Kamusoko, Vicent Bossou na Simon Msuva wamekosa penalti wakati wa mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

Al Ahly waichambua penalti ya Cannavaro dakika 10

Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. WACHAMBUZI wa masuala ya soka katika runinga ya Al Ahly, wametumia takribani dakika kumi wakiichambua penalti ya kwanza ya Yanga iliyopigwa na nahodha wake, Nadir Haroub ‘Cannavaro’.
Zaidi wachambuzi hao walikuwa wakitumia neno halua, kuonyesha ni kitu kizuri na namna ambavyo kipa wa kikosi chao alivyoteseka. Cannavaro ndiye alikuwa wa kwanza kupiga penalti...

 

9 years ago

BBCSwahili

Refarii aliyekataa kutoa penalti afungiwa

Timu ya soka ya Trabzonspor ilimfungia refarii kwa saa kadhaa baada ya kuwanyima penalti dhidi ya mahasimu wao wa jadi Gaziantepspor

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani