Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Haki za walemavu katika michakato ya demokrasia

Baada ya Bunge la Katiba kumaliza kazi ya kupitia Rasimu ya Pili ya Katiba na kutoa Katiba inayopendekezwa, Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba unatazamiwa kuingia katika hatua ya kura ya maoni .

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya


MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel  Sitta amewahakikishia Watu wenye Ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika Katiba Mpya itakayopatikana.


Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.


Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wapeni haki walemavu - Rai

Wenyeviti wa mitaa na vitongoji wametakiwa kufuatilia taarifa za watoto hasa wenye ulemavu katika maeneo yao ili kubaini mapema vitendo vya mateso na ukatili wanavyofanyiwa.

 

5 years ago

Michuzi

TGNP YAENDESHA MAFUNZO YA JINSIA, DEMOKRASIA NA UONGOZI KWA WADAU WA HAKI ZA WANAWAKE


Washiriki wa mafunzo ya Jinsia, Demokrasia na Uongozi wakiwemo viongozi wa Taasisi za Kijamii, Mashirika yasiyo ya kiserikali,waendesha bodaboda,watu wenye ulemavu na viongozi wa dini na kimila wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wakipeana mrejesho wa mambo waliyojifunza kuongeza ushiriki wa wanawake katika uongozi na kufanya maamuzi kwa nia ya kubadili mtazamo wa jamii kuhusu ushiriki wa wanawake leo Ijumaa Februari 14,2020 katika ukumbi wa BM Maganzo.Mzee wa Mila Juma Kidaha Makwaiya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Maelfu ya walemavu wadai haki India

Maelfu ya watu walemavu nchini India wameandamana mjini New Delhi, kushinikiza Bunge kupitisha mswaada wa kuwapa haki ya elimu na ajira.

 

10 years ago

GPL

WALEMAVU WATAKA HAKI YA KUSHIRIKI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU

Katibu Mtendaji wa Iclusive Development Promoters& Consultants (IDPC) Kaganzi Rutachwamagyo (kulia) mwenyekiti SHIVYAWATA, Amoni Mpanju na  Mwenyekiti umoja wa watu wenye ulemavu, Zanzibar Ali Makame. Mtoa mada kaganzi akichokoza mada.…

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Kombani aipongeza Seed Trust kuwapigania haki za walemavu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Selina Kombani (wa pili kushoto) akifungua Kongamano la Kujadili namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye ulemavu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Selina Kombani (wa pili kushoto) akifungua Kongamano la Kujadili namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye ulemavu.Mwenyekiti wa Tasisi ya Seed Trust, Magreth Mkanga (MB), (wa pili kutoka kushoto) akizungumza katika mkutano wa Kongamano la Kujadili namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye ulemavu. Mkurugenzi Mtendaji wa Tasisi ya Seed Trust, Magreth Mkanga (MB), (wa pili kutoka kushoto) akizungumza katika mkutano wa Kongamano la Kujadili namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye ulemavuBaadhi ya washiriki wa kongamano la Kujadili namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye ulemavu wakiwa katika mkutano huo leo mjini Morogoro. Baadhi ya washiriki wa kongamano la Kujadili namna ya kukabiliana...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani anaeshughulikia masuala ya Usalama wa Raia, Demokrasia na Haki za Binadamu Bi. Sarah Sewall atembelea zanzibar

Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za nje wa Marekani anaeshughulikia masuala ya Usalama wa Raia, Demokrasia na haki za Binadam Bi. Sarah Sawell akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) alipofika katika kituo cha Vijana muembe madema Mjini Zanzibar.

Na Abdulla Ali-Maelezo Zanzibar Serikali ya Marekani imeamua kuwatembelea Vijana wa Bara la Afrika kwa lengo la kukaa nao pamoja na kuzungumza nao juu ya Changamoto na Matatizo yanayowakabili vijana hao.  Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyerere na msimamo wa demokrasia katika uchaguzi

Ni dhahiri kwamba Mwalimu Nyerere anakumbukwa kwa mambo mengi ya msingi aliyoyapa kipaumbele wakati wa uongozi wake.  Jambo mojawapo alilisema Julai 29 Julai, 1985, kwamba: “Kazi iliyokuwa muhimu kuliko zote kwangu mimi, ilikuwa ni kujenga Taifa lenye umoja kwa msingi wa heshima na usawa wa binadamu”.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani