Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TGNP YAENDESHA MAFUNZO YA JINSIA, DEMOKRASIA NA UONGOZI KWA WADAU WA HAKI ZA WANAWAKE


Washiriki wa mafunzo ya Jinsia, Demokrasia na Uongozi wakiwemo viongozi wa Taasisi za Kijamii, Mashirika yasiyo ya kiserikali,waendesha bodaboda,watu wenye ulemavu na viongozi wa dini na kimila wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wakipeana mrejesho wa mambo waliyojifunza kuongeza ushiriki wa wanawake katika uongozi na kufanya maamuzi kwa nia ya kubadili mtazamo wa jamii kuhusu ushiriki wa wanawake leo Ijumaa Februari 14,2020 katika ukumbi wa BM Maganzo.Mzee wa Mila Juma Kidaha Makwaiya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MTANDAO WA JINSIA TANZANIA (TGNP) WAENDESHA MAFUNZO KWA WANAHABARI KANDA YA MASHARIKI

Mtoa mada Kenny Ngomuo akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Wanahabari wakimsikiliza Kenny Ngomuo. Wanahabari wakifuatilia mafunzo hayo.…

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YAENDESHA MAFUNZO KWA TAASISI WADAU WA USIMAMIZI WA SHERIA

Mkurugenzi Msaidizi wa Mafunzo, Bibi Felista Tirutangwa (aliyesimama) akizungumza wakati wa kumkaribisha Mgeni Rasmi, Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Taasisi Wadau wa Usimamizi wa Sheria Juu ya Ripoti ya Ukaguzi ya CAG na Jinsi ya Kuitafsiri yaliyofanyika katika Hoteli ya Den France, Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad (aliyesimama) akizungumza wakati wa Mafunzo ya Taasisi Wadau wa...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu Chuo cha GTI Afungua Mafunzo ya Jinsia, Demokrasia na Katiba

MKUU wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo leo jijini Dar es Salaam amefungua mafunzo ya siku tatu juu ya masuala ya Jinsia, Demokrasia na Katiba Mpya yaliyowashirikishwa washiriki kutoka katika mikoa ya Dar es Salaam, Lindi, Pwani na Morogoro. Akizungumza katika hotuba yake ya ufunguzi wa mafunzo hayo yanayofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Jinsia kilichopo eneo la Mabibo jijini Dar es Salaam, Bi. Zuki Mihyo alisema kutokuwepo na misingi imara ya kutetea, kulinda na...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA CHUO CHA GTI AFUNGUA MAFUNZO YA JINSIA, DEMOKRASIA NA KATIBA

Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (kulia, aliyesimama) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu juu ya masuala ya Jinsia, Demokrasia na Katiba Mpya yalioandaliwa na GTI. Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu… ...

 

11 years ago

Michuzi

WILDAF yaendesha Mkutano kwa Wadau wake wa Kupiga Vita Ukatili Dhidi ya wanawake nchini

Mkugenzi Mkuu wa Shirika la Wanawake Katika Sheria na Maendeleo ya Afrika (WILDAF),Judith Odunga (kulia) akizungumza wakati wa  ufunguzi wa Warsha ya siku moja ya kuadhimisha ya Siku ya Wanawake inayoadhimishwa kila March 8 Duniani kote,iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,jijini Dar es Salaam.Wengine pichano toka kushoto ni Lucy Marere kutoka Ubalozi wa Ireland,Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),Wakili Harold Sungusia,Mhadhiri wa...

 

5 years ago

Michuzi

SHERIA ZA UCHAGUZI ZINAZOJIKITA KWENYE MRENGO WA JINSI YA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI,WENYE AZMA YA UPATIKANAJI WA HAKI ZA WANAWAKE.


Na.Vero Ignatus.
Mtandao wa wanawake,Katiba,Uongozi na Uchaguzi,kwa udhamini wa mfuko wa wanawake Tanzania(WFT)hivi karibuni uliendesha mada ya uchambuzi wa sheria tano za uchaguzi zilizojikita kwenye wa mrengo wa jinsi ya ushiriki wa wanawake katika uongozi unaolenga kwenye azma ya upatikanaji wa haki za wanawake na ujenzi wa nguvu za pamoja katika kuendeleza utetezi wa ukombozi wa kimapinduzi
Mkutano huo ulifanyika kwa njia ya mtandao wa zoom ulioendeshwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPENI YA HAKI YA UCHUMI KATIKA MASWALA YA KILIMO YAENDESHA MDAHALO WA KUHAMASISHA WAKULIMA WADOGO WADOGO HUSUSANI WANAWAKE.


Meneja wa Kampeni haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona akifungua Mdahalo huo na mafunzo juu ya Kujenga hoja ya upatikanaji wa Chakula na haki ya chakula, Kufuatilia upatikanaji wa haki kwenye Rasilimali za Ardhi na matumizi yake,na kuhamasisha uwekezaji kwa wakilima wadogo wadogo Hususani wanawake kwenye Muktadha wa mabadiliko ya Tabia nchi, katika kampeni ya GROW Mmoja wa washiriki wa Semina hiyo akielezea matarajio yake akiwa kama Mama shujaa wa Chakula na Mkulima mwanamke Jinsi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani