MTANDAO WA JINSIA TANZANIA (TGNP) WAENDESHA MAFUNZO KWA WANAHABARI KANDA YA MASHARIKI
Mtoa mada Kenny Ngomuo akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Wanahabari wakimsikiliza Kenny Ngomuo. Wanahabari wakifuatilia mafunzo hayo.…
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTGNP YAENDESHA MAFUNZO YA JINSIA, DEMOKRASIA NA UONGOZI KWA WADAU WA HAKI ZA WANAWAKE
Washiriki wa mafunzo ya Jinsia, Demokrasia na Uongozi wakiwemo viongozi wa Taasisi za Kijamii, Mashirika yasiyo ya kiserikali,waendesha bodaboda,watu wenye ulemavu na viongozi wa dini na kimila wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wakipeana mrejesho wa mambo waliyojifunza kuongeza ushiriki wa wanawake katika uongozi na kufanya maamuzi kwa nia ya kubadili mtazamo wa jamii kuhusu ushiriki wa wanawake leo Ijumaa Februari 14,2020 katika ukumbi wa BM Maganzo.
9 years ago
MichuziMAFUNZO KUHUSU HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO YAANZA RASMI KANDA YA KUSINI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_abOajkhPjQ/VcfT2RA3IJI/AAAAAAAHvj0/AcubMiexSRk/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI KUHUSU MATUMIZI YA HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO — KANDA YA ZIWA NYASA- SONGEA (7/8/2015) NA TUNDURU (9/8/2015)
![](http://4.bp.blogspot.com/-_abOajkhPjQ/VcfT2RA3IJI/AAAAAAAHvj0/AcubMiexSRk/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Warembo Miss Tanzania 2014 wawasili kambini, kanda ya ziwa waendesha gari yao hadi Dar
Na Father Kidevu Blog
Wanyange 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2014 jana wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jijini Dar es Salaam.
Warembo hao waliowasili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya jana na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar.
Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa...
10 years ago
Vijimambo17 Jul
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ghjB2AxuVOM/VNM8nNr_41I/AAAAAAAHB5o/CJqc0pHwHyw/s72-c/001.AFANDE%2BPRISCA.jpg)
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA JINSIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ghjB2AxuVOM/VNM8nNr_41I/AAAAAAAHB5o/CJqc0pHwHyw/s1600/001.AFANDE%2BPRISCA.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lRVC53SbDJk/VNM8nZszfhI/AAAAAAAHB5g/hWAuCJvqSFY/s1600/002.AFANDE%2BPRISCA.jpg)
9 years ago
Dewji Blog03 Sep
TGNP yazindua Ilani ya Uchaguzi katika Tamasha la Jinsia
Kaimu Mkurugenzi wa TAMWA Edda Sanga akiongea kuhusu ilani ya Mtandao wa wanawake wa katiba na uchaguzi iliyozinduliwa hapo jana katika viwanja vya TGNP Mabibo, Dar es salaam. Wanaofuata ni Mwakilishi wa TAWLA, Mkurugenzi wa TGNP Lilian Liundi na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) Asseny Muro.
ILANI YA UCHAGUZI YA MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA NA UCHAGUZI
UCHAGUZI MKUU 2015
UTANGULIZI
Uchaguzi wa mwaka 2015 ni wa kihistoria katika harakati za ukombozi wa mwanamke ...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8JpRgSiJD2c/U0U_QCBt8gI/AAAAAAAFZbg/ZrZuPBYAA_c/s72-c/unnamed+(14).jpg)
waendesha bodaboda lindi wapatiwa mafunzo, wapima afya kwa hiari
11 years ago
Michuzi26 Apr
Mahafali ya Pili Chuo cha Mafunzo ya Jinsia Tanzania Yafanyika
![Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro (kushoto) akiwahutubia wahitimu wa mahafali ya pili ya chuo hicho leo katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_0208.jpg)
![Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo (wa pili kushoto) akitoa hotuba yake kwa wanamahafali wa mafunzo ya jinsia katika chuo cha GTI leo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_0183.jpg)
![Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro pamoja na Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi (kulia) wakiongoza maandamano ya wanamahafali ya pili ya Chuo cha GTI kuelekea ukumbuni kabla ya kuanza kwa hafla hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_0056.jpg)
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro pamoja na Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10