Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ewura yawaonya wauza mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa onyo kwa mfanyabiashara yeyote wa mafuta atakayetengeneza uwepo wa upungufu wa mafuta katika kipindi hiki cha kuelekela uchaguzi mkuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.



Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...

 

10 years ago

Vijimambo

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), imepunguza bei za mafuta kote nchini

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa bei za mafuta nchini na katika soko la Dunia. Kulia ni Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel.Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel (kulia), akizungumza katika mkutano huo.Ofisa Mawasiliano wa Ewura, Titus Kaguo (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.Wanahabari wakiwa kwenye mkutano...

 

10 years ago

Habarileo

Wauza mafuta wapewa onyo

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage SERIKALI imesema itawachukulia hatua kali wafanyabiashara wa mafuta, ikiwamo kuwafungia vituo vyao na pia kufuta leseni zao watakaobainika kugoma kuuza nishati hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wauza mafuta kubalianeni-Rai

Wafanyabiashara wa mafuta wa rejareja wanaokodi vituo vya mafuta kutoka kwa wauzaji wa jumla, wameshauriwa kufanya maridhiano na wakodishaji wao katika mchakato wa kugawana gawio la faida ili kuepuka mgogoro.

 

11 years ago

Habarileo

EWURA yafunga vituo 3 vya mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imefunga vituo vitatu vya kuuzia mafuta kwa tuhuma za kuuza mafuta yenye ubora hafifu pamoja na kufanya biashara hiyo bila ya kuwa na leseni.

 

11 years ago

Mwananchi

Ewura yafungia kampuni saba za mafuta

 Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imezifutia leseni za kufanya biashara ya mafuta Kampuni tisa nchini.

 

10 years ago

StarTV

EWURA yatangaza kushuka kwa bei ya Mafuta.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es Salaam.

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petrol, Dizel na ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja.

comprar kamagra barato

Kushuka kwa bei hizo kunatokana na kuporomoka kwa thamani ya dola katika soko la dunia hali iliyosababisha bei ya mafuta kuwa dola 60 kwa pipa moja badala ya dola 100 ya awali.

Akitangaza kushuka kwa bei hizo Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Felix Ngamlagosi amesema...

 

10 years ago

Habarileo

Ewura yaagizwa ukokotoaji mpya wa bei ya mafuta

Juma NjwayoKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kufanya ukokotoaji upya wa bei ya mafuta ili kumsaidia mlaji wa mwisho wa bidhaa hiyo kunufaika na punguzo la bei ya mafuta duniani.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge lataka Ewura ipunguze bei ya mafuta

Kamati ya Nishati na Madini, imeiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) kufanya ukokotoaji upya wa bei ya mafuta ili kupunguza bei itakayompa ahueni mwananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani