Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EWURA yafunga vituo 3 vya mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imefunga vituo vitatu vya kuuzia mafuta kwa tuhuma za kuuza mafuta yenye ubora hafifu pamoja na kufanya biashara hiyo bila ya kuwa na leseni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Croatia yafunga vituo vya kuvukia mpaka

Maafisa wa Croatia wamesema wamelazimika kufunga vituo saba vya kuvukia mpaka wake na Serbia baada ya wahamiaji 10,000 kuingia taifa hilo.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yafunga vituo vya watoto yatima

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imevifunga baadhi ya vituo vya kulelea watoto yatima katika maeneo mbalimbali nchini kwa kukiuka sheria ya uanzishwaji wake na wamiliki kujinufaisha binafsi.
Sambamba na hilo, pia imefuta kutoka kwenye orodha ya kutoa huduma ya kulea watoto yatima baadhi ya vituo vya aina hiyo vilivyo kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Kilimanjaro, huku vile vya mkoani Iringa vikiendelea kufanyiwa uchunguzi.
Tangazo la kufungwa na kufutwa kwa vituo hivyo...

 

5 years ago

Michuzi

EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.



Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...

 

10 years ago

Vijimambo

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), imepunguza bei za mafuta kote nchini

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa bei za mafuta nchini na katika soko la Dunia. Kulia ni Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel.Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel (kulia), akizungumza katika mkutano huo.Ofisa Mawasiliano wa Ewura, Titus Kaguo (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.Wanahabari wakiwa kwenye mkutano...

 

9 years ago

Habarileo

Ewura yawaonya wauza mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa onyo kwa mfanyabiashara yeyote wa mafuta atakayetengeneza uwepo wa upungufu wa mafuta katika kipindi hiki cha kuelekela uchaguzi mkuu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ewura yafungia vituo sita Mbeya

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imevifungia kufanya biashara ya mafuta vituo sita katika wilaya za Chunya, Mbozi na Momba, mkoani Mbeya, kutokana na kukiuka masharti...

 

11 years ago

Mwananchi

Ewura yafungia kampuni saba za mafuta

 Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imezifutia leseni za kufanya biashara ya mafuta Kampuni tisa nchini.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

EWURA yaagizwa kupunguza zaidi bei ya mafuta


NA WAANDISHI WETU
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetakiwa kuhakikisha inaendelea kupunguza bei ya mafuta kulingana na mabadiliko katika soko la dunia. Agizo hilo limetolewa jana na Kamati ya PAC wakati ilipokutana na watendaji na maofisa wa EWURA, ambapo imesema ni lazima bei ya mafuta nchini ibadilike kulingana na bei ya soko duniani. Makamu Mwenyekiti wa PAC, Ismail Aden Rage, alisema bei ya mafuta kwenye soko la dunia imepungua kwa asilimia 25, hivyo mamlaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani