Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Croatia yafunga vituo vya kuvukia mpaka

Maafisa wa Croatia wamesema wamelazimika kufunga vituo saba vya kuvukia mpaka wake na Serbia baada ya wahamiaji 10,000 kuingia taifa hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

EWURA yafunga vituo 3 vya mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imefunga vituo vitatu vya kuuzia mafuta kwa tuhuma za kuuza mafuta yenye ubora hafifu pamoja na kufanya biashara hiyo bila ya kuwa na leseni.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yafunga vituo vya watoto yatima

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imevifunga baadhi ya vituo vya kulelea watoto yatima katika maeneo mbalimbali nchini kwa kukiuka sheria ya uanzishwaji wake na wamiliki kujinufaisha binafsi.
Sambamba na hilo, pia imefuta kutoka kwenye orodha ya kutoa huduma ya kulea watoto yatima baadhi ya vituo vya aina hiyo vilivyo kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Kilimanjaro, huku vile vya mkoani Iringa vikiendelea kufanyiwa uchunguzi.
Tangazo la kufungwa na kufutwa kwa vituo hivyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Indonesia yafunga viwanja 5 vya ndege

Indonesia imefunga viwanja vitano vya ndege kikiwemo kile cha Bali kufuatia kulipuka kwa volcano katika mlima wa Raung, mashariki mwa mji wa Java.

 

10 years ago

Michuzi

January Makamba na ndoto ya vituo vya Michezo vya Kanda

Na Mwandishi WetuMbunge wa Bumbuli na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Habari na Masoko ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambaye hivi karibuni pia ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa January Makamba(Pichani juu)  hivi karibuni ameainisha adhma yake ya kuinua kiwango cha michezo nchini.
Azma hizo zimo katika  katika mazungumzo yake na Padre Privatus Karugendo ambayo yamechapishwa katika kitabu ambacho gazeti hili imekipata nakala yake ambapo...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KATIKA VITUO VYA UMEME VYA MBAGALA, G/MBOTO NA KINYEREZI

Waandishi wakiwasili kituo cha kupoza umeme Mbagala wakipokewa na Meneja Miradi Mhandisi Emmanuel Marirabona,(wa tatu kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba,(kushoto) na Meneja Miradi-Ufuaji Umeme, Mhandisi Simon Jilima,(wa pili kushoto). Transfoma ya kuchuja nguvu za umeme iliyopo… ...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KATIKA VITUO VYA UMEME VYA MBAGALA,G/MBOTO NA KINYEREZI

 Waandishi wakiwasili kituo cha kupoza umeme Mbagala wakipokewa na Meneja Miradi Mhandisi Emmanuel Marirabona,(wa tatu kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba,(kushoto) na Meneja Miradi-Ufuaji Umeme, Mhandisi Simon Jilima,(wa pili kushoto).   Transfoma ya kuchuja nguvu za umeme iliyopo Mbagala. Wafanyakazi wakiendelea na kazi katika kituo cha Mbagala. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco,Felchesmi Mramba,(kulia) na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je roboti zinatumika vipi kwenye vituo vya Covid-19 Rwanda?

Rwanda imesema kuwa tayari inatumia roboti katika kuzuwia maambukizi ya virusi vya corona kwenye vituo vya ugonjwa huo

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI CCBRT AKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA HOSPITALI, VITUO VYA AFYA 22

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi,  leo hii amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150 kwa hospitali na vituo vya afya 22 katika Manispaa za mkoa wa Dar es Salaam.
Lengo la CCBRT ni kuunga mkono juhudi za Serikali na wadau wengine hapa nchini katika kuwakinga wahudumu wa afya na janga la Corona. 
“Tumekusudia vifaa hivi vitumike katika vitengo vya afya ya uzazi katika hospitali hizo ili kuwakinga wahudumu wa afya...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAFUNGA SHULE ZA AWALI HADI KIDATO CHA SITA KWA SIKU 30 KUIHAMI NCHI NA CORONA, YAFUNGA PIA MIKUSANYIKO YA SIASA NA MICHEZO



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu hatua za awali zilizochukuliwa na Serikali kutokana na kuwepo nchini virusi vya ugonjwa wa Corona. 





DAR ES SALAAM, Tanzania
Serikali imezifunga shule za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30 na pia kuzuia mikusanyiko yoyote ikiwemo ya siasa na michezo ili kuihami nchi na ugonjwa wa Corona ambao umethibishwa kuingia nchini kufuatia kupatikana kwa mgonjwa mmoja wa ugonjwa huo hapa nchini.

Hatua hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani