Majibu ya Ridhiwani Kikwete kuhusu NEC na kwa wanaosema anamiliki vituo vya mafuta.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Wanaosema imekushinda tuwape majibu!
RAIS wangu mara kadhaa sasa umekuwa ukisikika ukisema, wako watu wanakwambia kuwa nchi imekushinda. Ni vema angalau kauli hii imekugusa mpaka moyoni. Umeisikia mwenyewe na mwenyewe umeisema hadharani, si mara moja...
11 years ago
Habarileo24 Mar
EWURA yafunga vituo 3 vya mafuta
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imefunga vituo vitatu vya kuuzia mafuta kwa tuhuma za kuuza mafuta yenye ubora hafifu pamoja na kufanya biashara hiyo bila ya kuwa na leseni.
11 years ago
CloudsFM05 Aug
KIKWETE: SINA MUDA KUJADILI UPUUZI KUHUSU RIDHIWANI
Rais Jakaya Kikwete amepuuza madai kwamba, alishiriki kumwokoa mwanawe, ambaye ni Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, aliyetuhumiwa kukamatwa na dawa za kulevya nje ya nchi.
Amesema kuwa urais ni taasisi kubwa nchini, hivyo yeye akiwa rais hawezi kujiingiza katika ubishani na watu wa mtaani, kama ambavyo baadhi ya watu wanaomsukuma ashiriki katika maneno hayo aliyoyaita kuwa ni ya “mitaani.”
“This is nonsense ni mkusanyiko wa upuuzi. Sina muda wala siwezi kupoteza nguvu yangu...
10 years ago
Mwananchi06 Feb
MAONI: NEC isitoe majibu rahisi kwa masuala magumu
10 years ago
Vijimambo19 Jun
Haya ndio majibu ya Viongozi wa Vyama vya Upinzani kwenye Mdahalo kuhusu Changamoto za TZ.. (Audio & Pichaz)
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/06/DSC_4749.jpg?resize=620%2C413)
Kutokana na sababu mbalimbali Wagombea wengi hawakujitokeza, Mgombea mmoja Balozi Amina Salum Ali ndio Mgombea pekee aliejitokeza kwenye mdahalo huo.
June 18 2015 ilikuwa zamu ya Viongozi mbalimbali wa Vyama vya Upinzani kukutana pale Hyatt Regency Hotel kwenye Mdahalo huo na kujadili ishu mbalimbali zinazoihusu...
11 years ago
Michuzi22 Apr
9 years ago
Michuzi24 Sep
Majibu kwa dukukudu kuhusu kura ya maoni ya Uchaguzi Mkuu ya TWAWEZA
![](https://dl.pushbulletusercontent.com/D45hhPml4fIXmcQacc38zF88DbULnxnH/PhotoGrid_1443120630178.jpg)
Majibu kwa Dukuduku Kuhusu Utafiti Wa Kura Ya Maoni Wa TWAWEZA by Evarist Chahali