Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaosema imekushinda tuwape majibu!

RAIS wangu mara kadhaa sasa umekuwa ukisikika ukisema, wako watu wanakwambia kuwa nchi imekushinda. Ni vema angalau kauli hii imekugusa mpaka moyoni. Umeisikia mwenyewe na mwenyewe umeisema hadharani, si mara moja...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Maximo, Phiri tuwape muda’

Makocha wa zamani wa Taifa Stars, Joel Bendera na Mshindo Msolla wamesema ujio wa Marcio Maximo na  Patrick Phiri katika klabu za Simba na Yanga utakuwa na manufaa kama viongozi wa timu hizo wataachwa wafanye kazi yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Nchi nzuri kama hii tuwape matapeli - 1?

Tanzania ni nchi nzuri sana, nchi iliyowakuza babu zetu na kizazi kilichopita, nchi iliyowalea wazee wetu na watu muhimu kwetu, nchi iliyowaleta mama zetu na kufanikisha malezi yetu katika amani ya kudumu, nchi hii ni nzuri sana na haiwezi kukabidhiwa kwa watu wenye nia ovu.

 

10 years ago

GPL

AUNTY: WANAOSEMA NIMEJIFUNGUA NI MAPEPO

Stori: Imelda Mtema/Amani STAA wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amewabwatukia watu waliomzushia kuwa amejifungua na kusema kuwa anawaona kama wametumwa na mapepo wabaya. Staa wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel. Akizungumza na Centre Spread, Aunty alisema anawashangaa wanaokurupuka na kuzungumza kitu ambacho si cha kweli kabisa na kwamba hakuna mtu ambaye alikuwepo siku aliyopata ujauzito huo. “ Nafikiri watakuwa na mapepo wabaya...

 

9 years ago

GPL

NELLY KAMWELU AWASHANGAA WANAOSEMA KACHUJA

Miss Universe 2011, Nelly Kamwelu amewashangaa watu wanaodhani kukaa kwake kimya kachuja na kusema kuwa bado analipa na anavutia. Akichezesha taya na Amani, Nelly alisema kuwa bado yupoyupo sana na kwa sasa anajishugulisha na mambo ya urembo ambapo anapata tenda za kuonesha mitindo katika nchi mbalimbali.   ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1EY9bn1 ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Dokii: Wanaosema Sina Jipya Kwenye Filamu Wasubiri

Staa mkongwe wa Bongo movies, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’ amesema kuwa wanaosema hana jipya kwenye Tania ya filamu wasubiri akusanye fedha kwenye kampeni za  uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madaiwani unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu kasha watajua kama amekwiusha au la.

Akizungumza na gazeti la Tanuru la Filamu, Dokii alisema  kuwa kwa sasa hawezi kufanya mambo mawili kwani yana weza kumfanya asito kaiz nzuri bali nguvu zake amezielekeza  kwenye shughuli hiyo ya kuwapigia debe...

 

10 years ago

GPL

LULU AWAJIBU WANAOSEMA HAWEZI KUMPATA JUSTIN BIEBER

Muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu'. Muigizaji  wa filamu Elizabeth Michael 'Lulu' anaendelea kuonesha hisia zake kwa Justin Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia ujumbe kila Jumatatu. Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya Justin Bieber akiwa kifua wazi akipiga kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa anaota ndoto za mchana na kwamba hatampata. “Mapemaaaa...Kabla cku...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Awashukia wanaosema wanachukia wakati wanapeleleza anachokiweka mtandaoni!!

Mrembo na mwigizaji wa filamu ambae kwasasa amekuja kivingine na mwingine, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaosema hawa mpendi na kumchukia lakini bado wanapeleleza na kumfualitia kila anachokiweka mtandao, na kutumia akaunti feki kumchafua kwa maneno machafu....amewaita jina baya na kuwambia wanatamani kuwa kwenye matawi yake....  

“If u say u Hate me and still come spying on what i post plus create fake accounts to insult me, BITCH you actually Envy me... Gnyt now....” Wema...

 

11 years ago

GPL

DK KEBWE STEVEN WANAOSEMA SIJAFANYA MAKUBWA SERENGETI WANA LAO JAMBO

HARAKATI za wabunge wa majimbo mbalimbali kujipanga kwa ajili ya mchuano wa muhula ujao wa 2015 umeanza kwa chini chini kwani miongozo ya vyama vya siasa kuna muda  maalum wa wanachama kuanza kampeni. Dk. Kebwe Steven Kebwe. Kitu pekee kitakachowabeba wabunge wengi ni jinsi gani waliweza kutekeleza ahadi zao, sanjari na kuwajibika kusimamia na kutekeleza sera za vyama vyao vilivyonadi wakati wakiomba ridhaa kwa wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani