Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dokii: Wanaosema Sina Jipya Kwenye Filamu Wasubiri

Staa mkongwe wa Bongo movies, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’ amesema kuwa wanaosema hana jipya kwenye Tania ya filamu wasubiri akusanye fedha kwenye kampeni za  uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madaiwani unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu kasha watajua kama amekwiusha au la.

Akizungumza na gazeti la Tanuru la Filamu, Dokii alisema  kuwa kwa sasa hawezi kufanya mambo mawili kwani yana weza kumfanya asito kaiz nzuri bali nguvu zake amezielekeza  kwenye shughuli hiyo ya kuwapigia debe...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mashabiki wasubiri filamu mpya ya Star Wars

Filamu ya karibuni zaidi ya mwendelezo wa filamu za Star Wars, The Force Awakens, itaonyeshwa kwa mara ya kwanza katika mji wa Los Angeles.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama kionjo cha toleo jipya la filamu ya ‘The Barbershop: The Next Cut’

barbershopheader

Filamu ya comedy, ‘The Barbershop’ imerudi tena ikiwa na sura mpya ambazo hazikuwepo katika filamu zilizopita.

barbershopheader

Waigizaji waliokuwepo toka filamu ya kwanza ni Ice Cube, Eve, Cedric The Entertainer na Anthony Anderson. Katika filamu mpya ‘The Barbershop: The Next Cut’ walioongezeka ni Nicki Minaj, Tyga na Comon. Inatarajiwa kutoka April 15, 2016.

Tazama trailer

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Sina mgombea kwenye mkoba’

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Tabora Mjini, Moshi Nkonkota, amekanusha malalamiko yaliyotolewa na Mbunge Ismail Rage, kuwa ana mgombea kwenye mkoba aliyemuandaa kuwania jimbo hilo. Akizungumza na...

 

10 years ago

Bongo5

Inspekta Haroun: Sina mpango wa kuingia kwenye siasa

Rapper mkongwe, Inspector Haroun aka Babu amesema pamoja na watu kibao kumtaka agombee nafasi mbalimbali za uongozi katika mtaa wake, amekataa kufanya hivyo kwakuwa anaamini muziki bado unamuhitaji. Inspector Haroun alikiambia kipindi cha Leo Tena, Clouds FM kuwa, hajajipanga kuwa kiongozi huku akiwatakia heri wale wote waliotangaza nia mpaka sasa. “Niseme kitu kimoja kwamba miaka […]

 

11 years ago

GPL

ANAYEISHI KWENYE HANDAKI BALAA JIPYA!

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa CHACHA Makenge (38) aliyeripotiwa awali kuishi ndani ya handaki katika eneo la pori la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani, amepatwa na balaa jipya baada ya makazi yake kuvamiwa na askari, kukamatwa na mwishowe kupelekwa Muhimbili kitengo cha wagonjwa wa akili kwa ajili ya matibabu. Chacha Makenge (38) akiota moto nje ya handaki lake katika eneo la pori la Chuo Kikuu...

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomi: Tusitarajie jipya kwenye bajeti

 Zikiwa zimesalia saa 24 kabla ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2014/15 kutangazwa bungeni mjini Dodoma, baadhi ya wachumi wamesema Watanzania wasitarajie chochote kipya katika bajeti hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

MAVAZI YA LB YAKIWA KWENYE TOLEO JIPYA LA WOMEN OF WEALTH MAGAZINE


Linda akionyesha picha kwenye magazine za Mavazi ya LINDA BEZUIDENHOUT yaliofunika usiku wa FASHION EXPERIENCE kwenye ukumbi waFERNBANK MUSEUM week iliopita jijini Atlanta Linda akiwa na mumewe MaliAlie kati ni STEVIE BAGGS JR. aliekuwa mmoja wa MC's yeye na Renee Ndo walikuwa MA-MC.STEVIE anajurikana pia kama mchezaji pekee aliechezea team 11 professional

 

10 years ago

Bongo5

Davido kutumbuiza Dar November 1 kwenye ‘The Climax’ , tamasha jipya la Times FM

Mshindi wa tuzo za BET 2014 na MTV (MAMA), Davido wa Nigeria anatarajiwa kutua tena Tanzania mwishoni mwa mwezi huu, na tayari imefahamika kuwa mkali huyo atatumbuiza kwenye tamasha jipya la ‘The Climax’ litakalofanyika November 1 jijini Dar. Kwa mujibu wa tovuti ya Times Fm, Tamasha hilo limeandaliwa na kituo cha radio Times Fm na […]

 

9 years ago

MillardAyo

Mkubwa Fella kwenye headlines za utambulisho wa kundi jipya Salamu TMK…(Video)

Mkurugenzi wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Said Fella time hii anakualika kuangalia video ya vijana wake wapya wapo saba ambao wanaunda kundi jipya lililopewa jina la Salamu TMK. Vijana hao wameachia video ya single yao mpya ya kwanza iitwayo NAFSI iliyotayarishwa na Pablo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]

The post Mkubwa Fella kwenye headlines za utambulisho wa kundi jipya Salamu TMK…(Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani