Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK KEBWE STEVEN WANAOSEMA SIJAFANYA MAKUBWA SERENGETI WANA LAO JAMBO

HARAKATI za wabunge wa majimbo mbalimbali kujipanga kwa ajili ya mchuano wa muhula ujao wa 2015 umeanza kwa chini chini kwani miongozo ya vyama vya siasa kuna muda  maalum wa wanachama kuanza kampeni. Dk. Kebwe Steven Kebwe. Kitu pekee kitakachowabeba wabunge wengi ni jinsi gani waliweza kutekeleza ahadi zao, sanjari na kuwajibika kusimamia na kutekeleza sera za vyama vyao vilivyonadi wakati wakiomba ridhaa kwa wananchi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwanazuoni: Wanaomwandama Warioba wana lao jambo

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Emmanuel Kilatu, ametaka wanaomshambulia kwa maneno Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba kuacha tabia hiyo mara moja.

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Kebwe afurahia Ukawa kutoelewana Serengeti

NA BENJAMIN MASESE

KEBWE-22April2015MGOMBEA  ubunge   Serengeti kwa tiketi ya CCM, Dk. Steven Kebwe   amesema anafurahia kuona Ukawa ukishindwa kuelewana na chama kinachosimamisha mgombea   Serengeti.

Amesema hadi sasa vyama hivyo vipo katika mvutano mkubwa kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Chama cha NCCR Mageuzi na Chama cha Wananchi (CUF), kitendo ambacho kimesababisha kuwapo   makundi.

Akizungumza na MTANZANIA jana kwa   simu kuhusu  siku anayotarajia kuzindua kampeni jimboni humo, Dk....

 

9 years ago

TheCitizen

CCM's Kebwe losses Serengeti Parliamentary seat

History repeated itself after Dr Stephen Kebwe became the third deputy Minister to lose the Serengeti Parliamentary seat consecutively since 2005.

 

10 years ago

Mtanzania

Wana CCM Serengeti watua kwa Lowassa

lowassaNa Mwandishi Wetu, Monduli
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, wamemwomba Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), kuchukua fomu ya kuwania urais muda utakapofika kwani wanaamini ni kiongozi anayefaa kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho.
Wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Vicent Nyamasagi, viongozi hao walitoa kauli hiyo jana Monduli baada ya kufika nyumbani kwa Lowassa kuwasilisha ombi hilo.
Lakini...

 

11 years ago

Habarileo

Tufanye kazi, Watanzania wana matarajio makubwa—Muhongo

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameeleza kuwa Watanzania wana matarajio makubwa kutokana na kugunduliwa kwa hazina kubwa ya gesi katika maeneo ya kina kirefu cha bahari.

 

10 years ago

Vijimambo

JAMBO CONCEPTS (T) LTD, WACHAPISHAJI WA GAZETI LA JAMBO LEO WAPATA MSIBA TENA



Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya Jambo Concepts (T) Ltd, inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti na Jarida la Jambo Brand, limempoteza mfanyakazi wake mwingine wa idara ya masoko, Kinai Mtinda (pichani), baada ya kufariki dunia saa 7 usiku wa kuamukia leo katika Hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Msiba na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake Mbezi Beach na taratibu zingine kuhusiana na msiba huo zitatolewa baadae.
Marehemu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ni msiba tena Jambo Concepts (T) Ltd, wachapishaji wa Gazeti la Jambo Leo

IMG_8831

Na Dotto Mwaibale

KAMPUNI ya Jambo Concepts (T) Ltd, inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti na Jarida la Jambo Brand, limempoteza mfanyakazi wake mwingine wa idara ya masoko, Kinai Mtinda (pichani), baada ya kufariki dunia saa 7 usiku wa kuamukia leo katika Hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Msiba na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake Mbezi Beach na taratibu zingine kuhusiana na msiba huo zitatolewa baadae.

Marehemu...

 

10 years ago

GPL

SARA MVUNGI: NINA MIAKA KUMI SIJAFANYA ZINAA

Stori: Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu aliyejikita kumtumikia    Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi amesema kuwa, amechoshwa na upweke wa muda mrefu kwa kuishi bila mwanaume kwa takriban miaka 10 kwa kuwa anasubiri Mungu amshushie mume mwema. Msanii wa filamu aliyejikita kumtumikia Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi. Akitoa la rohoni kwa paparazi wetu, Sara alisema hajajihusisha na masuala ya mapenzi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani