Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete alizungumzia kuhusu uchumi na mafuta alipokutana na Watanzania waishio nchini Uingereza

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZUNGUMZIA SEKTA YA ELIMU ALIPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UK

Rais Dk. Jakaya Kikwete akizungumzia mipango na maendeleo katika sekta ya elimu.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGEA NA MAMIA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao usiku wa Machi 30, 2014 katika Ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Wembley, London, aliko katika ziara ya kiserikali ya siku tatu kwa…

 

11 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUTANA NA MWANA MFALME WA UINGIREZA PRINCE CHARLES NA KUJADILI VITA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI NCHINI UINGEREZA.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles wakati wa mkutano uliojadili  vita dhidi ya biashara haramu ya wanyamapori huko Clarence House London nchini Uingereza.Mkutano huo uliandaliwa na Prince Charles.(picha kwa hisani ya Clarence House)

 

10 years ago

Dewji Blog

JK alipokutana na Watanzania waishio Uholanzi jijini The Hague

Watanzania waishio Uholanzi walikusanyika siku ya Jumatatu Juni 9, 2015 katika hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague kukutana na kumsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa nchini humo kwa mwaliko wa Mfalme Willem-Alexander

 Wajumbe walioongozana na Rais Kikwete katika ziara hiyo  Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi  Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi  Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi  Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi  Sehemu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda alipokutana na Watanzania waishio Poland

120100

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Watanzania waishio Poland (WAPO), Bw. Steven Sambali mara baada ya kukutana nao na kuwaeleza mambo yanayoendelea nyumbani Tanzania. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.

120056

Mmoja wa Watanzania waishio Poland wakiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara baada ya kukutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu. (Picha na Irene Bwire wa...

 

11 years ago

Michuzi

RISALA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Katibu wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza Bi Mariam Mungula alipokuwa London kwa ziara ya kiserikali kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa uingereza Mhe David Cameron. Risala hiyo inasomeka hapa chini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani