RAIS KIKWETE AZUNGUMZIA SEKTA YA ELIMU ALIPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UK
Rais Dk. Jakaya Kikwete akizungumzia mipango na maendeleo katika sekta ya elimu.
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi23 Apr
11 years ago
Michuzi22 Apr
9 years ago
StarTV04 Jan
Watanzania waishio China wadhamiria kutoa misaada ili kuboresha Sekta Mbalimbali zikiwemo Afya na Elimu
Ushirika wa Watanzania wanaoishi nchini China umedhamiria kutoa msaada katika sekta mbalimbali zikiwemo za elimu na afya ili kupunguza changamoto ya vifaa katika hospitali, zahanati na vituo vya afya.
Kupitia taasisi hiyo ya Umoja wa marafiki wa Tanzania na China tayari imetoa udhamini wa masomo kwa wanafunzi wanaosoma nchini chini kwa kiwango cha Shahada ya Uzamili ambapo kila mwaka wanafunzi 40 wanapata nafasi za kusoma.
Kwa kupitia Taasisi hiyo na serikali ya china imeamua kutoa vitanda...
10 years ago
Dewji Blog11 Jun
JK alipokutana na Watanzania waishio Uholanzi jijini The Hague

Watanzania waishio Uholanzi walikusanyika siku ya Jumatatu Juni 9, 2015 katika hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague kukutana na kumsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa nchini humo kwa mwaliko wa Mfalme Willem-Alexander






11 years ago
Dewji Blog28 Oct
Waziri Mkuu Pinda alipokutana na Watanzania waishio Poland
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Watanzania waishio Poland (WAPO), Bw. Steven Sambali mara baada ya kukutana nao na kuwaeleza mambo yanayoendelea nyumbani Tanzania. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.
Mmoja wa Watanzania waishio Poland wakiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara baada ya kukutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu. (Picha na Irene Bwire wa...
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA WANAJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV KATIKA MKUTANO WA DIASPORA JIJINI WASHINGTON
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete kukutana na Watanzania waishio Ujerumani

Alifafanua kwamba japokuwa Rais Kikwete amebakiza muda mfupi katika uongozi wake lakini Umoja huo unaamini kuwa madam Rais Kikwete ameona umuhimu wa kufanya mkutano na Watanzania wanaoishi ujerumani basi anaweza akatekeleza mahitaji ya Watanzania hao.
Bw. Mfundo alifafanua pia ...
10 years ago
Michuzi17 Jul
Rais Kikwete azungumza na Watanzania waishio Uswisi



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ofisi ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva jana baada ya kuzungumza nao na kisha kupata futari katika Hoteli ya Intercontinental jijini Geneva ...