Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK alipokutana na Watanzania waishio Uholanzi jijini The Hague

Watanzania waishio Uholanzi walikusanyika siku ya Jumatatu Juni 9, 2015 katika hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague kukutana na kumsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa nchini humo kwa mwaliko wa Mfalme Willem-Alexander

 Wajumbe walioongozana na Rais Kikwete katika ziara hiyo  Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi  Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi  Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi  Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi  Sehemu...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watanzania waishio Uholanzi wafurahia kukutana na kuagana na JK jijini the Hague

 Sehemu ya Watanzania lukuki waishio Uholanzi waliojitokeza kumuona na kumaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague wakiwa na furaha kwa kupata fursa hiyo adimu Rais Kikwete akisalimiana na Watanzania lukuki waishio Uholanzi waliojitokeza kumuona na kumaga JK katika ukumbi wa hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague  Wakubwa kwa wadogo walikuwepo
 Hongera sana mkuu...Tutakumiss sana mhishimiwa....Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

JK ALOPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UHOLANZI JIJIJINI THE HAGUE

  Rais Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi Kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania Uholanzi akisoma risala yao
 Rais Kikwete akimpongeza kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania bada ya kusoma risala
 Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. William Masilingi akimkaribisha mgeni
 Meza kuu ikifurahia muziki wa Tanzania ulipokuwa unaporomoshwa kuchagiza hafla hiyo Watanzania waishio Uholanzi walikusanyika siku ya Jumatatu Juni 9, 2015 katika hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague kukutana na...

 

10 years ago

GPL

JK ALOPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UHOLANZI JIJIJINI THE HAGUE‏

Watanzania waishio Uholanzi walikusanyika siku ya Jumatatu Juni 9, 2015 katika hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague kukutana na kumsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa nchini humo kwa mwaliko wa Mfalme Willem-Alexander…

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda alipokutana na Watanzania waishio Poland

120100

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Watanzania waishio Poland (WAPO), Bw. Steven Sambali mara baada ya kukutana nao na kuwaeleza mambo yanayoendelea nyumbani Tanzania. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.

120056

Mmoja wa Watanzania waishio Poland wakiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara baada ya kukutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu. (Picha na Irene Bwire wa...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZUNGUMZIA SEKTA YA ELIMU ALIPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UK

Rais Dk. Jakaya Kikwete akizungumzia mipango na maendeleo katika sekta ya elimu.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA WANAJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV KATIKA MKUTANO WA DIASPORA JIJINI WASHINGTON‏

Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani