Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ALOPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UHOLANZI JIJIJINI THE HAGUE

  Rais Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi Kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania Uholanzi akisoma risala yao
 Rais Kikwete akimpongeza kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania bada ya kusoma risala
 Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. William Masilingi akimkaribisha mgeni
 Meza kuu ikifurahia muziki wa Tanzania ulipokuwa unaporomoshwa kuchagiza hafla hiyo Watanzania waishio Uholanzi walikusanyika siku ya Jumatatu Juni 9, 2015 katika hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague kukutana na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JK ALOPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UHOLANZI JIJIJINI THE HAGUE‏

Watanzania waishio Uholanzi walikusanyika siku ya Jumatatu Juni 9, 2015 katika hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague kukutana na kumsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa nchini humo kwa mwaliko wa Mfalme Willem-Alexander…

 

10 years ago

Dewji Blog

JK alipokutana na Watanzania waishio Uholanzi jijini The Hague

Watanzania waishio Uholanzi walikusanyika siku ya Jumatatu Juni 9, 2015 katika hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague kukutana na kumsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa nchini humo kwa mwaliko wa Mfalme Willem-Alexander

 Wajumbe walioongozana na Rais Kikwete katika ziara hiyo  Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi  Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi  Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi  Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi  Sehemu...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania waishio Uholanzi wafurahia kukutana na kuagana na JK jijini the Hague

 Sehemu ya Watanzania lukuki waishio Uholanzi waliojitokeza kumuona na kumaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague wakiwa na furaha kwa kupata fursa hiyo adimu Rais Kikwete akisalimiana na Watanzania lukuki waishio Uholanzi waliojitokeza kumuona na kumaga JK katika ukumbi wa hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague  Wakubwa kwa wadogo walikuwepo
 Hongera sana mkuu...Tutakumiss sana mhishimiwa....Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Ankal na Wadau wa Globu ya Jamii, The Hague, Uholanzi

Ankal (wa pili shoto) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Globu ya Jamii jijini The Hague, Uholanzi, leo. 

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.

Bw Kisasi mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi. Bi Rosemary Chambe Jairo Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wachomoza Uholanzi

WACHEZAJI wa Tanzania walioko Uholanzi, Dickson Ambundo na Shiza Yahya, wameanza kuonekana kwa waandaaji wa mashindano ya AEGON Copa Amsterdam. Kwa mujibu wa wakala wa wachezaji hao, Denis Kadito, AEGON...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WASHIRIKI "INTERNATIONAL DAY" YA ERASMSUS UNIVERSITY OF ROTERDAM TAWI LA ISS THE HAGUE

Watanzania wanaosoma chuo cha EUR wameshirikiana na watazanzania wenzao pamoja na ubalozi katika kushiriki siku ya kimataifa katika Tawi la International Institute of Social Studies kwa heshima ili waone kile kinachokifanya na inaweza kuwa chachu kwa watanzania wengine waliopo maeneo mengine.Washiriki wa kitanzania katika siku ya kimataifa katika Tawi la International Institute of Social Studies,Shamimu na Jackson Bulili wakiwa kwenye banda lao.Sehemu ya Washiriki waliosimama ni Luth John,...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Watanzania waishio Yemen kurejeshwa


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imedhamiria kuwarudisha nchini Watanzania waishio Yemeni, kutokana na mapigano yanayoendelea nchini humo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh.

Alisema ni jukumu la serikali kuhakikisha kuwa Watanzania hao ambao wengi ni wanafunzi, wanarudi nchini wakiwa salama. 
Membe alisema awamu ya kwanza ya kuwarudisha ilifanyika hivi karibuni chini ya uratibu...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakizungumza na Mchezaji Mwinyi Kazimoto ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Al Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano kati yake na watanzania waishio nchini humo uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 21, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda (kushoto kwake) wakizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania waishio nchini Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani