Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUTANA NA MWANA MFALME WA UINGIREZA PRINCE CHARLES NA KUJADILI VITA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI NCHINI UINGEREZA.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles wakati wa mkutano uliojadili  vita dhidi ya biashara haramu ya wanyamapori huko Clarence House London nchini Uingereza.Mkutano huo uliandaliwa na Prince Charles.(picha kwa hisani ya Clarence House)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aonana na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko leo Ikulu, Dar

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino alieambatana na Mkewe Princess Kiko walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Asia Bw. Mbelwa Kairuki kwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazunzumzo na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aonana na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino leo Ikulu, Dar

J1

Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki  Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.

J2

Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Asia Bw. Mblewa Kairuki kwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.

J3

Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na  Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AHUDHULIA KONGAMANO LA KIMATAIFA KUHUSU BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI NCHINI BOTSWANA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Ghariba Bilal na mkewe Mama Zakia Bilal, wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa SIR SERETSE KHAMA Nchini Botswana kwa ajili ya kuhudhuria kwenye kongamano la Kimataifa kwa Viongozi wakuu wa Nchi, kuhusu biashara haramu ya wanyamapori Duniani. Kongamano hilo limefanyika leo March 25,2015 kwenye Hoteli ya Mowana iliyopo katika mbuga ya wanyama Kasane Nchini Botswana.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA CHINA NCHINI APONGEZA MSIMAMO WA TANZANIA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA PEMBE ZA NDOVU

Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Lu Youqing alipofika Wizarani tarehe 10 Novemba, 2014 kwa mazungumzo. Katika mazungumzo yao Mhe. Lu aliishukuru na kuipongeza Serikali ya Tanzania kwa msimamo wake kuhusu tuhuma dhidi yake na China kuhusu biashara haramu ya pembe za ndovu na pia alisifu   jitihada za Serikali ya Tanzania katika kupambana na biashara hiyo na kusema China inaunga mkono jitihada hizo na ipo...

 

10 years ago

Vijimambo

ASKOFU CHARLES GADI, AONGOZA IBADA YA KUMUOMBEA RAIS JAKAYA KIKWETE NAFUU YA HARAKA

Askofu wa kanisa la Good News for All Ministry, Charles Gadi, (Wapili kulia), na mkuu wa wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ahmed Kipozi, wakiwa kwenye maombi ya kumuombea rais Jakaya Kikwete, apone haraka na kurejea nyumbani kuendelea na majukumu yake ya kitaifa. Rais yuko nchini Marekani kwa matibabu ya tezi dume, na tayari ameruhusiwa kutoka hospitali aliyokuwa akitibiwaAskofu wa kanisa la Good News for All Ministry, Charles Gadi,(Wanne kushoto0, akiaongoza wananchi akiwemo mkuu wa wilaya...

 

9 years ago

Michuzi

WAMWANDIKIA BARUA YA WAZI RAIS DKT MAGUFULI ACHUKUE HATUA DHIDI YA UJANGILI WA BIASHARA HARAMU YA MENO YA TEMBO.

Kiongozi wa kampeni ya Okoa Tembo wa Tanzania,Shubert Mwarabu akizungumza na Waandishi wa habari ndani ya ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO,kuhusiana na Barua yao ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli juu ya mauaji ya Tembo ambayo yamekuwa yakifanyika hapa nchini kwa kiwango kikubwa.Katika barua hiyo ya wazi,uongozi wa kampeni hiyo umetoa wito kwa Serikali kutekeleza ama kufanya yafuatayo1.kuwakamata na kuwashitaki wafanyabishara wakubwa wa meno ya Tembo nchini,bila kujali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani