Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AHUDHULIA KONGAMANO LA KIMATAIFA KUHUSU BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI NCHINI BOTSWANA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Ghariba Bilal na mkewe Mama Zakia Bilal, wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa SIR SERETSE KHAMA Nchini Botswana kwa ajili ya kuhudhuria kwenye kongamano la Kimataifa kwa Viongozi wakuu wa Nchi, kuhusu biashara haramu ya wanyamapori Duniani. Kongamano hilo limefanyika leo March 25,2015 kwenye Hoteli ya Mowana iliyopo katika mbuga ya wanyama Kasane Nchini Botswana.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Dk Bilal aongoza ujumbe wa Tanzania kwenye kongamano la kimataifa kuhusu biashara haramu ya wanyamapori duniani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Ghariba Bilal, akiwa na ujumbe wa Tanzania kwenye kongamano la Kimataifa kwa Viongozi wakuu wa Nchi, kuhusu biashara haramu ya wanyamapori Duniani. Kongamano hilo limefanyika leo March 25,2015 kwenye Hoteli ya Mowana iliyopo katika mbuga ya wanyama Kasane Nchini Botswana. kulia Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Ghariba Bilal, akiwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS KUHUSU DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL

OFISI ya Makamu wa Rais inasikitika kuwepo kwa taarifa ambazo zimesambaaa kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuwa Mheshimiwa Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal ataongea na vyombo vya habari kuhusu msimamo wake ndani ya serikali na Chama Cha Mapinduzi.  Tunaomba kuueleza umma wa Watanzania kuwa Mheshimiwa Makamu wa Rais hajapanga tukio lo lote la kukutana na waandishi wa habari na wala hana mpango wa kuzungumzia msimamo wake ndani ya Serikali na...

 

9 years ago

Vijimambo

Makamu wa Rais Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal Akutana na Mabalozi wa Wateule leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mteule wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt. Gen. Charles Lawrence Makakala na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mkwawa Kasyanju wakati Mabalozi hao kwa pamoja walipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mteule wa Tanzania Nchini Zimbabwe...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AKUTANA NA MABALOZI WATEULE LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mteule wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt. Gen. Charles Lawrence Makakala na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mkwawa Kasyanju wakati Mabalozi hao kwa pamoja walipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja naBalozi mteule wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ALIHUTUBIA TAIFA KWENYE BARAZA LA EID EL HAJJ MUSOMA LEO

 Injinia Mkuu wa Ujenzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Wilaya ya Musoma Suleiman Bishanga, akimuonesha Makamu wa Rais Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal ramani ya ujenzi wa msikiti huo hadi utakapokamilika wakati Makamu wa Rais alipotembelea kuangalia ujenzi huo leo Sept 24,2015. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Himid Jongo kwenye Baraza la eid el Hajj iliyofanyika kitaifa leo Sept 24, 1015 katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akutana na Mbunge shirikisho la Ujerumani

3

-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Mhe. Charles M. Huber (wa pili kushoto) ambaye ni Mbunge na Mjumbe wa Kamati ya Ushirikiano wa Uchumi na Maendeleo na Mambo ya Nje ya Bunge la Shirikisho la Ujerumani wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo Septemba 15, 2014.(Picha na OMR).

2

4.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Mhe....

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA KONGAMANO LA BIASHARA LA KIMATAIFA KWA NCHI ZA AFRIKA JIJINI DUBAI, FARME ZA KIARABU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika majadiliano kuhusu utengamano wa Afrika na Fursa za biashara na Uwekezaji Katibu na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Richard Sezibera, wakati wakihojiwa na Mwandishi wa habari wa Kimataifa na Mkurugenzi wa Kampuni ya ‘Eddo Media’, Mark Eddo (kushoto).Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa nne kutoka kulia) akijumuika na baadhi ya viongozi wakati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa rais Dkt. Bilal ahudhuria kongamano la biashara la kimataifa kwa nchi za Afrika jijini Dubai, falme za kiarabu

8

Mfanyabiashara mwenye ukwasi mkubwa Afrika, Bw. Aliko Dangote katika mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhusu uwekezaji wake katika kiwanda cha simenti mkoani Mtwara. Dangote alisema kazi ya ujenzi inakwenda kama ilivyopangwa na kwamba kiwanda hicho kitakuwa kikubwa kabisa kwa uzalishaji simenti katika ukanda wa Afrika Mashariki. (Picha na OMR).

9qq

Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA JIJINI DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa la kuchochea mwamko wa nafasi ya mabingwa wa uchunguzi tiba katika kuboresha huduma za tiba. Kongamano hilo linalofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, limewakutanisha mabingwa wa tiba za afya kutoka nchi mbalimbali za Afrika na nje ya Afrika.
baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani