TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS KUHUSU DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL

OFISI ya Makamu wa Rais inasikitika kuwepo kwa taarifa ambazo zimesambaaa kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuwa Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal ataongea na vyombo vya habari kuhusu msimamo wake ndani ya serikali na Chama Cha Mapinduzi. Tunaomba kuueleza umma wa Watanzania kuwa Mheshimiwa Makamu wa Rais hajapanga tukio lo lote la kukutana na waandishi wa habari na wala hana mpango wa kuzungumzia msimamo wake ndani ya Serikali na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AHUDHULIA KONGAMANO LA KIMATAIFA KUHUSU BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI NCHINI BOTSWANA LEO
11 years ago
Dewji Blog15 Sep
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akutana na Mbunge shirikisho la Ujerumani
-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Mhe. Charles M. Huber (wa pili kushoto) ambaye ni Mbunge na Mjumbe wa Kamati ya Ushirikiano wa Uchumi na Maendeleo na Mambo ya Nje ya Bunge la Shirikisho la Ujerumani wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo Septemba 15, 2014.(Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Mhe....
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AKUTANA NA MABALOZI WATEULE LEO
10 years ago
Vijimambo
Makamu wa Rais Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal Akutana na Mabalozi wa Wateule leo.


11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO SIKU YA MADAWA YA KULEVYA MBEYA
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ALIHUTUBIA TAIFA KWENYE BARAZA LA EID EL HAJJ MUSOMA LEO
11 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AZINDUA RASMI UKUMBI WA MIKUTANO WA MWADHAMA LAUREAN KADINALI RUGAMBWA


10 years ago
Vijimambo
LOWASSA KUMUWAKILISHA MAKAMU WA RAIS DKT MOHAMMED GHARIB BILAL KWENYE HARAMBEE YA UCHAGIAJI UJENZI WA MSIKITI WA PATANDI, JIJINI ARUSHA


11 years ago
GPL
MAKAMU WA RAIS DR.MOHAMMED GHARIB BILAL ALIPOTEMBELEA BANDA LA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)