Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI: NEC isitoe majibu rahisi kwa masuala magumu

>Tunashangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuendelea kutoa majibu rahisi kwa masuala mazito ya kitaifa, ambayo tayari yameibua utata unaoweza kuiingiza nchi yetu katika matatizo makubwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

CWT isitoe majibu mepesi kwa maswali magumu

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ni chama kilicho mstari wa mbele kuhakikisha walimu nchini wanapata stahili zao kwa wakati.

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Bunge limejaa majibu mepesi kwa maswali magumu

>Nimefuatilia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria katika mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma.

 

9 years ago

Michuzi

Majibu kwa dukukudu kuhusu kura ya maoni ya Uchaguzi Mkuu ya TWAWEZA


Majibu kwa Dukuduku Kuhusu Utafiti Wa Kura Ya Maoni Wa TWAWEZA by Evarist Chahali

 

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI WAHIMIZWA KUWASILISHA MASUALA YAHUSUYO WATOTO YATIMA NA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

SAM_0796Vyombo vya habari nchini vimehimizwa kuwasilisha masuala yanayowahusu watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu. Akizungumza na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali jijini Arusha katika warsha juu ya HAKI ZA WATOTO YATIMA NA WALE WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU iliyoendeshwa na shirika liliso la kiserikali la The Foundation For Tomorrow (TFFT). Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania wa shirika hilo, Bwa. Kennedy Oulu alisema tatizo la watoto yatima na wale waishio katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Si rahisi kupata katiba inayoakisi maoni ya Watanzania!

SINA tumaini kwamba tunaweza kupata katiba inayoakisi maoni ya wananchi  walio wengi. Sasa hivi nimepoteza hamu ya kufuatilia mjadala wa uandikaji wa katiba mpya bungeni. Nimepata sononeko la moyo. Tulichotamani...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Nec itabeba lawama kwa upungufu huu

>Inawezekana kuwa habari hii ni ile ambayo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) haitapenda kuisikia kutoka katika mkoa mpya wa Njombe, ambako kazi ya uandikishaji wapigakura inaanza kesho.

 

10 years ago

GPL

KIMENUKA BUNGENI; WABUNGE WAPIGA KELELE WAKITAKA MAJIBU KURA YA MAONI

Mbunge wa Ubungo (Chadema) akichangia mada bungeni. SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameamua kulihairisha bunge hadi hapo baadaye baada ya vurugu kuibuka kwa baadhi ya wabunge wakitaka hoja ya kuhairisha mchakato wa kura ya maoni ijadiliwe na kura ya maoni isogezwe mbele maana muda hautoshi. Spika wa Bunge, Anne Makinda. Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika alisimama na kusema: "Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NEC yahimiza wananchi kutoa maoni

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kama wananchi na wadau wanataka mfumo wa uteuzi wa wajumbe wake ubadilike, ni vema wakatoa maoni kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Mwenyekiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani