Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yahimiza wananchi kutoa maoni

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kama wananchi na wadau wanataka mfumo wa uteuzi wa wajumbe wake ubadilike, ni vema wakatoa maoni kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Mwenyekiti...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANANCHI MANISPAA YA MOSHI WAALIKWA KUTOA MAONI JUU YA OMBI LA MUWSA KUBADILI BEI YA KUTOA HUDUMA YA MAJI.


Na Dixon Busagaga.Moshi.
MAMLAKA ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA) inakusudia kuongeza bei ya kutoa huduma za maji kwa watumiaji wake ,lengo likiwa ni kutaka kuendelea kufanya maboresho katika utolewaji wa huduma hiyo.
Kwa mujibu wa ombi Na,TR-W-15-008 kutoka Muwsa kwenda Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji(EWURA) Mamlaka ya maji safi na maji  taka mjini Moshi imetaka kuongeza beo ya huduma zake kwa mwaka 2015/2016 HADI 2017/2018.
Mabadiliko ya bei hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Nec ifanyie kazi malalamiko ya wananchi

>Tumelazimika kwa mara nyingine katika muda wa siku tatu kuitahadhalisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), kwamba kasoro zinazoendelea kujitokeza katika uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Wapigakura kwa kutumia mfumo wa mashine za kielektroniki (BVR) zinaweza kukwamisha kazi hiyo iwapo tume hiyo haitapata suluhisho la kudumu.

 

5 years ago

Michuzi

Haki ya kutoa Maoni, wananchi waelimishwe

Na Mwandishi Mwandishi Wetu.

UHURU wa kutoa maoni, kujieleza na kupata taarifa ni mojawapo wa Haki za Msingi za raia wa Tanzania kama ilivyosisitizwa na Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata hivyo upo mkanganyiko katika kutafsiri maana ya Uhuru huu  uliojikita zaidi katika kukidhi matakwa na maslahi fulani.
Kwa upande mmoja, wapo wanaotafsiri dhana ya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza kama Haki ya raia yeyote kuwasilisha mawazo na fikra zake bila vikwazo. Wanaoamini...

 

10 years ago

Habarileo

CCM yahimiza ulinzi kuelekea kura ya maoni

Makamu Mwenyekiti CCM, Zanzibar, Dk Ali Mohamed SheinMWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mberwa Hamad Mberwa ameiomba Serikali kuimarisha ulinzi katika kipindi cha kura ya maoni ili kupambana na vitisho vya wapinzani, ambao wametangaza kususa zoezi hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka ametahadharisha kuwa wananchi wanaweza kuikataa Katiba kwenye kura ya maoni kama maoni yao yatawekwa kando.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yatangaza zabuni Kura ya Maoni

Uwezekano wa Kura ya Maoni kufanyika mwaka huu na hasa sambamba na Uchaguzi Mkuu, umeanza kujionyesha baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza zabuni za ununuzi wa vifaa vitakavyotumika kwenye shughuli hiyo, zikiwamo karatasi za kupigia kura.

 

10 years ago

Habarileo

Kura ya maoni ipo palepale, yasema NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imesisitiza kwamba tarehe ya kufanyika kwa kura ya maoni kuhusu Katiba Inayopendekezwa ipo pale pale na hakuna mabadiliko yoyote kama inavyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: NEC, uandikishaji usiende pamoja na kampeni

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wiki hii imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani kwamba Agosti 21 itakuwa siku ya uteuzi wa wagombea hao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

NEC yaongeza utata kura ya maoni 2015

UWEZEKANO wa kufanyika kwa kura ya maoni Aprili 30 mwakani, kama alivyoahidi Rais Jakaya Kikwete ni mdogo, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuthibitisha kwamba itakamilisha kazi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani