Haki ya kutoa Maoni, wananchi waelimishwe
![](https://1.bp.blogspot.com/-m1SUJct1WPE/Xs02AlWp4TI/AAAAAAAAhp8/61FgMdLMrI0SnL39yRuFA6LmIu7W6eOhwCLcBGAsYHQ/s72-c/images.jpeg)
Na Mwandishi Mwandishi Wetu.
UHURU wa kutoa maoni, kujieleza na kupata taarifa ni mojawapo wa Haki za Msingi za raia wa Tanzania kama ilivyosisitizwa na Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata hivyo upo mkanganyiko katika kutafsiri maana ya Uhuru huu uliojikita zaidi katika kukidhi matakwa na maslahi fulani.
Kwa upande mmoja, wapo wanaotafsiri dhana ya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza kama Haki ya raia yeyote kuwasilisha mawazo na fikra zake bila vikwazo. Wanaoamini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRC Mongella: Watendaji Serikalini waelimishwe kutoa haki kwa wakati
Mongella alitoa rai hiyo katika kikao kifupi kilichofanyika baina yake na Mwenyekiti wa THBUB, Jaji (Mst.) Mathew Mwaimu alipomtembelea ofisini kwake jijini Mwanza Aprili 20, 2020.
Akiongea katika kikao hicho...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ql6Z40BB754/VW0zc8JmEzI/AAAAAAAAQPs/J1h84BpMC3U/s72-c/logo%2Bewura.jpg)
WANANCHI MANISPAA YA MOSHI WAALIKWA KUTOA MAONI JUU YA OMBI LA MUWSA KUBADILI BEI YA KUTOA HUDUMA YA MAJI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ql6Z40BB754/VW0zc8JmEzI/AAAAAAAAQPs/J1h84BpMC3U/s400/logo%2Bewura.jpg)
Na Dixon Busagaga.Moshi.
MAMLAKA ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA) inakusudia kuongeza bei ya kutoa huduma za maji kwa watumiaji wake ,lengo likiwa ni kutaka kuendelea kufanya maboresho katika utolewaji wa huduma hiyo.
Kwa mujibu wa ombi Na,TR-W-15-008 kutoka Muwsa kwenda Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji(EWURA) Mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi imetaka kuongeza beo ya huduma zake kwa mwaka 2015/2016 HADI 2017/2018.
Mabadiliko ya bei hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
NEC yahimiza wananchi kutoa maoni
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kama wananchi na wadau wanataka mfumo wa uteuzi wa wajumbe wake ubadilike, ni vema wakatoa maoni kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Mwenyekiti...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jul
Nape ataka wananchi waelimishwe
KUTOKANA na vurugu zilizosababisha na gesi asilia mkoani Mtwara mwaka jana, Serikali imeshauriwa kuwape elimu wananchi kwanza kabla ya kutekeleza mradi wowote katika eneo husika. Ushauri huo umetolewa juzi na...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Wananchi waelimishwe kuhusu ebola
MIONGONI mwa habari kubwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa ni kusambaa kwa kasi ugonjwa wa ebola ambao hadi sasa hauna tiba. Ebola umezikumba nchi nyingi za Afrika Magharibi;...
10 years ago
GPLWANANCHI WATAKA WAELIMISHWE KUYATAMBUA MABOMU
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k9VaLQL_XnA/XtlI-tokMPI/AAAAAAALspA/PA1UYlDOs_kK07YGKk92raUmgI81WSr4wCLcBGAsYHQ/s72-c/1-6.jpg)
Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu
![](https://1.bp.blogspot.com/-k9VaLQL_XnA/XtlI-tokMPI/AAAAAAALspA/PA1UYlDOs_kK07YGKk92raUmgI81WSr4wCLcBGAsYHQ/s640/1-6.jpg)
Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Maoni: Tuzo za watu; Hapa Hamfanyi HAKI
Hakuna vipengele vinavyoniboa kwenye Tuzo za watu, kama hivi vya sijui mwanamuziki na muigizaji anayependwa, binafsi sioni kama kuna mantiki Hapo, yani msanii ata kama hufanyi vizuri ila kwa kuwa akina ‘matikiboko yao’ wanakupenda kule insta kwa mambo yako binafsi, na sio kazi ya msanii, basi wewe unafaa kupewa tuzo, hii inakera sana, tujifunze kutofautisha kati ya wasanii wanaofanya sanaa kama kazi na wale wanaofanya kama fashion (in Lulu's voice ) .
Ni aibu kumpambanisha Riyama Ally na...