RC Mongella: Watendaji Serikalini waelimishwe kutoa haki kwa wakati
Na Mbaraka KambonaMKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella ameishauri Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kuandaa mpango maalamu wa kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Watendaji wa ngazi za mikoa ili waweze kutoa haki za wananchi kwa wakati.
Mongella alitoa rai hiyo katika kikao kifupi kilichofanyika baina yake na Mwenyekiti wa THBUB, Jaji (Mst.) Mathew Mwaimu alipomtembelea ofisini kwake jijini Mwanza Aprili 20, 2020.
Akiongea katika kikao hicho...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-m1SUJct1WPE/Xs02AlWp4TI/AAAAAAAAhp8/61FgMdLMrI0SnL39yRuFA6LmIu7W6eOhwCLcBGAsYHQ/s72-c/images.jpeg)
Haki ya kutoa Maoni, wananchi waelimishwe
![](https://1.bp.blogspot.com/-m1SUJct1WPE/Xs02AlWp4TI/AAAAAAAAhp8/61FgMdLMrI0SnL39yRuFA6LmIu7W6eOhwCLcBGAsYHQ/s640/images.jpeg)
UHURU wa kutoa maoni, kujieleza na kupata taarifa ni mojawapo wa Haki za Msingi za raia wa Tanzania kama ilivyosisitizwa na Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata hivyo upo mkanganyiko katika kutafsiri maana ya Uhuru huu uliojikita zaidi katika kukidhi matakwa na maslahi fulani.
Kwa upande mmoja, wapo wanaotafsiri dhana ya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza kama Haki ya raia yeyote kuwasilisha mawazo na fikra zake bila vikwazo. Wanaoamini...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FQrShTrzfDY/Xuiv72wdj9I/AAAAAAALuBE/Tv6J3uJg8Hs46myF26Sc1SG21DZNoABQACLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
RC MONGELLA AWATAKA WAFANYABIASHARA KULIPA KODI KWA WAKATI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amewataka wafanyabiashara kutumia fursa ya kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani hapa kulipa kodi kwa wakati ili kuiwezesha Serikali kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo huku wafanyabiashara hao wakiishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa zoezi hilo ambalo linawaleta karibu walipakodi na wakusanya kodi.
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kampeni hiyo ambayo imeanza June 15 hadi 22 mwaka...
11 years ago
Mwananchi29 Jun
‘Mitambo ya kisasa ya video serikalini, kitanzi cha posho kwa watendaji’
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6yGIYn4U2Ns/VlqR_1tYUbI/AAAAAAAII3k/QLoD7zXAMqQ/s72-c/IMG-20151128-WA0038.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-nmM9x9av0YE/Xvbd-KaHXJI/AAAAAAAAW-U/73JWffjERZkggCDFM7vd7c8MMEU7-30ywCLcBGAsYHQ/s72-c/21ed60ddedde9e66abf3ae7b4d781e5f.jpg)
DKT. BASHIRU AHIMIZA HAKI KWA WATENDAJI WA CCM WILAYANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-nmM9x9av0YE/Xvbd-KaHXJI/AAAAAAAAW-U/73JWffjERZkggCDFM7vd7c8MMEU7-30ywCLcBGAsYHQ/s400/21ed60ddedde9e66abf3ae7b4d781e5f.jpg)
Dkt. Bashiru ameeleza hayo wakati akifungua semina ya mafunzo kwa makatibu wa CCM ngazi ya wilaya kote nchini na kuonya kuwa miongoni mwa mambo yanayovunja haki ni rushwa na kuwataka makatibu hao kusimamia haki kwa...
11 years ago
Habarileo30 Jun
Zitto: Bunge lidhibiti watendaji serikalini
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto amesema Bunge lina kila sababu kupitia sheria yake ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kulinda hadhi yake kutoka kwa watendaji.
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Haki kwa wakati ni ndoto ya mchana?
11 years ago
Mwananchi03 Feb
JK ahimiza haki ipatikane kwa wakati
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU SERIKALINI