Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ahimiza haki ipatikane kwa wakati

Rais Jakaya Kikwete amewataka wadau wa haki na sheria na vyombo vyote kushirikiana pamoja katika utendaji kazi, ili kuwawezesha walengwa kupata haki zao kwa wakati.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

DKT. BASHIRU AHIMIZA HAKI KWA WATENDAJI WA CCM WILAYANI

  Katibu Mkuu wa Chama ca Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amewatahadharisha makatibu wa chama hicho ngazi ya Wilaya kujiepusha na vitendo vya rushwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ili kutenda haki kwa kila mwanachama anayetaka kuwania nafasi mbalimbali za uongozi.
Dkt. Bashiru ameeleza hayo wakati akifungua semina ya mafunzo kwa makatibu wa CCM ngazi ya wilaya kote nchini na kuonya kuwa miongoni mwa mambo yanayovunja haki ni rushwa na kuwataka makatibu hao kusimamia haki kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Haki kwa wakati ni ndoto ya mchana?

>Usemi wa wanasheria kwamba ‘haki iliyocheleweshwa ni sawa na haki iliyokosekana’ hapa nchini hauzeeki. Malalamiko ya kunyimwa haki au kuchelewesha haki hizo yamekuwa yakijitokeza kila kukicha na sasa yanakuwa kama ni ya kawaida.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Utumishi wa Umma tendeni haki kwa wakati

PAMOJA na mambo mengine, kazi ya Tume ya Utumishi wa Umma ni kupokea na kushughulikia rufaa na malalamiko ya watumishi wa umma, kufanya ukaguzi wa uzingatiaji wa sheria, kanuni na...

 

5 years ago

Michuzi

RC Mongella: Watendaji Serikalini waelimishwe kutoa haki kwa wakati

Na Mbaraka KambonaMKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella ameishauri Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kuandaa mpango maalamu wa kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Watendaji wa ngazi za mikoa ili waweze kutoa haki za wananchi kwa wakati. 
Mongella alitoa rai hiyo katika kikao kifupi kilichofanyika baina yake na Mwenyekiti wa THBUB, Jaji (Mst.) Mathew Mwaimu alipomtembelea ofisini kwake jijini Mwanza Aprili 20, 2020.
Akiongea katika kikao hicho...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu ahimiza serikali kusimamia haki, usawa

ASKOFU wa Kanisa la Africa Inland (AIC) wa Dayosisi ya Pwani, Charles Salalah amesema serikali isiyo na dini ndiyo itakayosimamia haki na usawa katika taifa, kinyume cha hapo inatafuta matatizo.

 

10 years ago

Michuzi

JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AHIMIZA AFRIKA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU,AZITAKA NCHI ZAIDI KUTOA TAMKO LA KUITAMBUA MAHAKAMA HIYO

Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)yenye makao yake jijini Arusha,Jaji Mstaafu wa Tanzania,Augustino Ramadhani(katikati)akizungumza katika hafla ya chakula cha jioni kilichondaliwa na taasisi ya Pan African Lawyers Union(PALU)kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa PALU,Donald Deya na kulia ni Mkuu wa mawasiliano wa AfCPHR,Sukhdev Chatbar.Baadhi ya maafisa wa AfCPHR,PALU na waandishi wa habari wakifatilia hafla hiyo. 4.Mwandishi wa habari wa siku nyingi ambaye alikua mwezeshaji...

 

5 years ago

Michuzi

Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Machi 8 , 2020

Tunapoadhimisha kumbukumbu ya siku ya Mwanamke Duniani hii leo Machi 8, 2020 ikiwa ni miaka 25 tangu wanawake kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wakutane jijini Beijing, China kujadili maendeleo ya wanawake,Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inapenda kuungana na Watanzania wote katika kusherehekea maadhimisho haya ambayo kimsingi yanatoa fursa kwa wanawake kufanya marejeo ya hatua mbalimbali zilizofikiwa katika kuboresha mustakabali wa wanawake nchini.

Tume inatambua...

 

10 years ago

Habarileo

‘Katiba ipatikane kabla ya Rais ajaye’

MJUMBE wa Bunge Maalumu, Askofu Amos Mhagache amemwomba Rais Jakaya Kikwete aache amekamilisha mchakato wa kupata Katiba mpya.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri ataka miili ya watoto ipatikane

Waziri wa Afya wa Ghana ametoa siku 14 kwa hospitali moja katika mji wa Kumasi itafute miili ya watoto waliopotea

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani