Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mitambo ya kisasa ya video serikalini, kitanzi cha posho kwa watendaji’

Zanzibar. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa amesema kuwa baadhi ya watendaji wa Serikali na idara zake wamekuwa wakipiga chenga kutumia mitambo ya video katika mikutano ya kiutendaji na mafunzo kwa kuhofia kukosa posho za kujikimu na safari, wakati mitambo hiyo imewekwa ili kusaidia kupunguza matumizi ya uendeshaji wa shughuli za Serikali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RC Mongella: Watendaji Serikalini waelimishwe kutoa haki kwa wakati

Na Mbaraka KambonaMKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella ameishauri Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kuandaa mpango maalamu wa kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Watendaji wa ngazi za mikoa ili waweze kutoa haki za wananchi kwa wakati. 
Mongella alitoa rai hiyo katika kikao kifupi kilichofanyika baina yake na Mwenyekiti wa THBUB, Jaji (Mst.) Mathew Mwaimu alipomtembelea ofisini kwake jijini Mwanza Aprili 20, 2020.
Akiongea katika kikao hicho...

 

11 years ago

Michuzi

FUN CITY YAJIPANGA KUTOA BURUDANI YA KIPEKEE KWA WATANZANIA PASAKA: YAFUNGA MITAMBO YA KISASA KWA AJILI YA MICHEZO YA KWENYE MAJI


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la FAN CITY Bw. Hasan Rizvi akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mashine za michezo mbali mbali itakayotolewa kipindi cha sikukuu ya Pasaka wakati wa mkutano alioufanya katika eneo la Fun City Kigamboni jijini Dar es Salaam. Pia aliongeza kuwa kwa sasa kampuni yake imeeongeza mitambo yenye uwezo wa kutengeneza mawimbi ya aina sita tofauti kwenye bwawa kubwa la kuogelea. Mitambo ya kisasa iliyofungwa...

 

9 years ago

StarTV

Mkuu wa Mkoa Dodoma apiga marufuku Posho Za Vikao Kwa Watendaji

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni mstaafu Chiku Galawa amepiga marufuku ulipaji wa posho za vikao vya kazi kwa wakuu wa idara na watendaji kutokana na utendaji usioridhisha.Aidha amewataka viongozi hao kukaa mara mbili kwa wiki ofisini, siku zilizobaki zikitumika kugagua kazi zilizofanywa na walio chini yao pamoja na kusikiliza kero za wananchi.

Agizo hilo linatolewa katika kikao cha ufunguzi wa baraza la madiwani wa  halmashauri ya kongwa  Galawa anafikia uamuzi huo kutokana na wilaaya hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

Kituo cha kisasa cha michezo kwa vijana cha JMK cha Kidongo Chekundu kuzinduliwa Oktoba 19, 2015

 Sehemu ya viwanja vya mpira wa kikapu katika kituo cha kisasa kabisa cha Michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam  vimekamilika, saambmba na viwanja vya soka na michezo mingine. Kituo hiki cha Vijana cha Michezo mbalimbali kinachodhaminiwa na Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza cha Sunderland kwa kushirikiana na kampuni ya umeme ya Symbion Power kinatarjiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 19 Oktoba mwaka huu. 

 

11 years ago

Habarileo

Zitto: Bunge lidhibiti watendaji serikalini

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto amesema Bunge lina kila sababu kupitia sheria yake ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kulinda hadhi yake kutoka kwa watendaji.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU SERIKALINI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha watendaji wakuu serikalini kilichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.(picha na Freddy Maro)

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC Mpanda akemea watendaji wanaoendekeza posho

MKUU wa Wilaya ya Mpanda, Paza  Mwamlima,  amekemea  tabia ya viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Mpanda kukimbilia  kuhudhuria  kwa wingi kwenye vikao wanavyolipwa posho na kuvikimbia  visivyo na posho....

 

11 years ago

Habarileo

Hesabu mbaya kuwanyima posho watendaji Tamisemi

Mwenyekiti wa LAAC, Rajab Mohamed MbaroukKAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), inaandaa utaratibu kuwanyima posho za safari wakuu wa idara wa halmashauri za wilaya, watakaokuwa wakiitwa na kamati hiyo zaidi ya mara mbili, kutokana na hesabu mbaya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani