Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC Mpanda akemea watendaji wanaoendekeza posho

MKUU wa Wilaya ya Mpanda, Paza  Mwamlima,  amekemea  tabia ya viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Mpanda kukimbilia  kuhudhuria  kwa wingi kwenye vikao wanavyolipwa posho na kuvikimbia  visivyo na posho....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Hesabu mbaya kuwanyima posho watendaji Tamisemi

Mwenyekiti wa LAAC, Rajab Mohamed MbaroukKAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), inaandaa utaratibu kuwanyima posho za safari wakuu wa idara wa halmashauri za wilaya, watakaokuwa wakiitwa na kamati hiyo zaidi ya mara mbili, kutokana na hesabu mbaya.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mitambo ya kisasa ya video serikalini, kitanzi cha posho kwa watendaji’

Zanzibar. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa amesema kuwa baadhi ya watendaji wa Serikali na idara zake wamekuwa wakipiga chenga kutumia mitambo ya video katika mikutano ya kiutendaji na mafunzo kwa kuhofia kukosa posho za kujikimu na safari, wakati mitambo hiyo imewekwa ili kusaidia kupunguza matumizi ya uendeshaji wa shughuli za Serikali.

 

9 years ago

StarTV

Mkuu wa Mkoa Dodoma apiga marufuku Posho Za Vikao Kwa Watendaji

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni mstaafu Chiku Galawa amepiga marufuku ulipaji wa posho za vikao vya kazi kwa wakuu wa idara na watendaji kutokana na utendaji usioridhisha.Aidha amewataka viongozi hao kukaa mara mbili kwa wiki ofisini, siku zilizobaki zikitumika kugagua kazi zilizofanywa na walio chini yao pamoja na kusikiliza kero za wananchi.

Agizo hilo linatolewa katika kikao cha ufunguzi wa baraza la madiwani wa  halmashauri ya kongwa  Galawa anafikia uamuzi huo kutokana na wilaaya hiyo...

 

9 years ago

Raia Mwema

Posho ya siku ni posho ya kujikimu siyo ya kujikirimia

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

11 years ago

Mwananchi

Posho zakwamisha Kamati za Bunge zakwama posho

Ofisi ya Bunge imesema baadhi ya kamati zake zitalazimika kumalizia shughuli zake katika ofisi zao za Dar es Salaam, kwa kuwa haiwezi kuziwezesha zote kusafiri kwa ajili ya ukaguzi maeneo mbalimbali ya nchi.

 

11 years ago

Michuzi

HATUTOWAVUMILIA WANAOENDEKEZA VITENDO VYA URASIMU NA UMANGIMEZA WA KUTUMIA MAKARATASI OFISINI-KINANA

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Kapalamsenga,wilayani Mpanda mkoani Katavi jioni ya leo,katika mkutano wa hadhara,Kinana alijikuta akigeuka mbogo na kuwaomba radhi wakazi wa kata ya Kirema, Ikola na Kapalamsenga,wilayani Mpanda mkoani Katavi, baada ya kubaini kuwa,kumekuwepo na kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wa Serikali.Kinana amesema chama chake kamwe hakitowavumilia watendaji wanaoendekeza vitendo vya urasimu na umangimeza wa kutumia makaratasi...

 

10 years ago

Vijimambo

magufuli mpanda

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mpanda wakati akiwasili kwenye viwanja vya Azimio tayari kwa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ambapo alihutubia wananchi hao waliojazana kwa wingi. Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mpanda mkoani Katavi na kuwaambia wananchi hao kuwa hatokuwa na msamaha kwa watu wasiotimiza majukumu yao.
 Waziri Mkuu Mhe. Mizengo pinda akimtambulisha Mgombea wa Urais wa CCM...

 

11 years ago

Poaching Cases

Mpanda court disposes of 43 anti


Mpanda court disposes of 43 anti-poaching cases
Daily News
THE Mpanda District Magistrate's Court in Katavi Region has already heard and determined 43 cases which were instituted by the Tanzania National Parks (TANAPA) during the anti-poaching drive, better known as Operesheni Tokomeza, late last year.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC Mpanda amtolea uvivu mhandisi

MKUU wa Wilaya ya Mpanda, Paza Mwamlima, amempa  siku saba Mhandisi wa Ujenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mpanda,  Albert Kinyando, kuhakikisha jengo la Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani