HATUTOWAVUMILIA WANAOENDEKEZA VITENDO VYA URASIMU NA UMANGIMEZA WA KUTUMIA MAKARATASI OFISINI-KINANA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Kapalamsenga,wilayani Mpanda mkoani Katavi jioni ya leo,katika mkutano wa hadhara,Kinana alijikuta akigeuka mbogo na kuwaomba radhi wakazi wa kata ya Kirema, Ikola na Kapalamsenga,wilayani Mpanda mkoani Katavi, baada ya kubaini kuwa,kumekuwepo na kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wa Serikali.Kinana amesema chama chake kamwe hakitowavumilia watendaji wanaoendekeza vitendo vya urasimu na umangimeza wa kutumia makaratasi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV04 Jan
Ukosefu wa vyombo vya ufuatiliaji vitendo vya unyanyasaji  bado ni changamoto
Licha ya kuwepo kwa sheria ya kumlinda mtoto dhidi ya unyanyasaji imebainika kuwa kuna tatizo kubwa la kukosekana kwa vyombo maalumu vya ufuatiliaji wa vitendo hivyo kuanzia ngazi ya majumbani ili kuwabaini wanaotenda makosa hayo na kuchukuliwa hatua za kisheria.
Vitendo vya unyanyasaji vimekuwa vikibomoa msingi imara ambao watoto wanahitaji ili wawe na afya bora na maisha yenye tija lakini pia vinasigana na haki ya msingi ya watoto kuishi salama utotoni.
Pamoja na kudaiwa kupungua kwa...
11 years ago
Dewji Blog26 Aug
THBUB yalaani mauaji na vitendo vya ukatili wa viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi!
Mtoto Mlemavu wa Ngozi (Albino) Adam Robert (13) wakati akiwa amelazwa hospitalini baada ya kujeruhiwa na kwa kukatwa mkono na kisha kunyofolewa Vidole sita vya mikono yote miwili,picha hii ilipigwa siku moja tu baada ya kufikishwa katika hospitali ya wilaya ya Geita. (Maktaba;Picha hii ilipigwa Oktoba 14 mwaka 2011).
Press Release_Albino Kukatwa Viungo by moblog
11 years ago
Tanzania Daima30 Aug
TPSF: Urasimu utoaji vibali vya ujenzi kikwazo cha maendeleo
TAASISI ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), imesema Tanzania haiwezi kuendelea kukwamishwa na urasimu wa utoaji wa vibali vya ujenzi ambavyo vinarudisha nyuma juhudi za kujenga mazingira bora ya kufanya biashara...
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
DC Mpanda akemea watendaji wanaoendekeza posho
MKUU wa Wilaya ya Mpanda, Paza Mwamlima, amekemea tabia ya viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Mpanda kukimbilia kuhudhuria kwa wingi kwenye vikao wanavyolipwa posho na kuvikimbia visivyo na posho....
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya corona: Je ipo haja ya kutumia vidonge vya vitamin D?
10 years ago
Habarileo04 Jul
Kanda zaagizwa kutumia vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi
SERIKALI imeagiza kila kanda kuwa na vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi ambavyo vitawekwa katika halmashauri mbalimbali nchini, ili viweze kutumiwa na vijana wanaohitimu vyuo wenye taaluma ya masuala ya ardhi.
10 years ago
GPL
OYA MWANA HASARA ROHO, PESA MAKARATASI!
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Facebook kupambana na vitendo vya kujiua
10 years ago
Habarileo06 Apr
Paroko wa RC akemea vitendo vya rushwa
PAROKO wa Kanisa Katoliki (RC) , Parokia ya Masasi jimbo la Tunduru-Masasi mkoani Mtwara, Dominick Mkapa amekemea vitendo vya rushwa vinavyofanywa na baadhi ya watu waliopewa mamlaka serikalini mazingira yanayochangia kuwepo kwa mikataba mingi isiyo na tija kwa taifa letu.