Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OYA MWANA HASARA ROHO, PESA MAKARATASI!

Inakuwaje watu wangu wa nguvu? Ama nini? Imekaaje kitaa hiyo ya kona mbaya kwa fasi ya Roki Siti? Kipande hii Bongo tambarare nini na nini sema ndo hivo washkaji wanakaza kidizaini f’lani hivi. Enewei, kama vipi barida!
Wazazi ishu za ajali zinazingua kinoma wanangu. Nini kimehapeni masela? Ngoja nitumie chansi hii kuwapa sori wale wote mliolosti ndugu, jamaa na mafrendis. Tugetha tuseme r.i.p kwa wana waliolosti laifu....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OYA…TULIZA MIZUKA IBILISI MTOA ROHO YUPO JOBU!

Niaje…niaje mazee. Inakuwa nini wanangu? Kitaa hii mambo ni mingi kiaje sasa, kama huna uvumilivu unaweza kujikuta unapaniki na kufanya mambo ndivyo sivyo. Ama nene? Basi barida. Ebana mambo ya kuchukua fomu nini na nini unaambiwa watu wanapigana vikumbo ileile. Hataree..Wanangu majanki kibao wanataka kitu cha ubunge na udiwani. Siyo mbaya kozi kitu cha katiba si kinaruhusu? Ukishakuwa na eji inayotakiwa dheni demokrasia...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

OYA MWANA, MWENYE MKWANJA HANUNIWI!

Mambo vipi masela? Inakuwa nini watu wa Saa Godi? Dah! Siyo sekreti niliwamisi kinomanoma tangu lasti wiki arifu. Nanyaka mpo biye makachaa pamoko na mizinguo ya mgomo wa masuka na kitu cha mvua.  Bila kuwesti mataimu ngoja tucheki jamvini kama yaliyomo yamo au ni bosha. Ebana wana juzikati nimegongana na kichwa changu mmoko hivi ana mawe hatare bati yupo fulu stresi.   Msela anakuteli kuwa alizoeana dizaini na shori wa...

 

10 years ago

GPL

OYA MWANA KAMWE MKAA HAUOSHWI!

Niaje…niaje masela wangu? Kitaa hiyo kwa fasi ya kati barida? Mitikasi vipi wana? Kama freshi basi ndo mpango mzima! Ama nini? Basi mzuka kwa wingi chaliiangu.
Karibu jamvini mazee nikusanue ishu bee za kitaa. Machalii hivi laifu mnalionaje kwa saidi yenu? Kipande hii ni fulu mastresi na bado sisomeki aisee arifu. Tudei bana nitakugonga na limkasa la mwanangu Jeff. Ni kitambo kiduchu kimekrosi. Unajua nini...

 

10 years ago

GPL

OYA MWANA KAMA MAUA PELEKEA NYUKI!

Oyooo…inakuwaje masela hapo kitaa cha kati? Ama nini? Kipande hii ni mzuksi kinoma. Tunakalisha ileile. Dah! Taimu inakatika fasta machalii. Yaani kufumba na kufumbua dheni tayari tunamingo tena hapa kwa fasi ya Mpeke kulisongesha. Karibuni jamvini makachaa wangu tufanye yetu. Ebana ee…huu ni msimu wa malovee yaani kitaa ni fulu makopakopa. Machalii hicho kitu cha majifti inakuwaje? Wanangu siyo masti iwe kwa shori au...

 

10 years ago

GPL

OYA MWANA LAZIMA KIJASHO CHEMBABA KIKUTOKE!

Ikoje watu wa Saa Godi? Nipo tena kwa mahewa kukisanua hapa kwa fasi ya jamvini arifu. Heroo kwani kuna kwikwi? Haina kitu, kaa humu wewe uwe mjanja!Bifoo sijazama kwa mastori moo kuna ishu moko fekelo kinoma naona dizaini kama inashika kasi. Eti kichwa mbulula kinaacha kupiga mzigo kutengeneza mkwanja anaanza kukrosi kwenye mapaking tauni anajipiga mafoto makare na ndiga za watu dheni anatupia kwa insta eti abauti lasti naiti!...

 

10 years ago

GPL

OYA MWANA... JEMBE LA KIANGAZI HALIFAI MASIKA!


M
asela inakuwa nini arifu? Kuna kwikwi? Haina kwere chaliiangu. Kipande hiyo mambo mpeto? Hapo kwa fasi ya griini siti Mbeya vipi? Mwanangu Mwaibale hapo eyapoti Songwe shwari? Hapa chuma kipo kamili yaani timu ya taifa hasaaa…barida! Kaa humu wewe upate udambwidambwi!
Ebana masela wangu kuna mchongo f’lani hivi naona kama unakozi mastresi kinomanoma kwa masistaduu. Ngoja nikunong’oneze wenyewe wasinisikie...

 

10 years ago

GPL

OYA MWANA, NDIMU CHANGA HAINA MAJI!

Mambo vipi wanangu wenyewe? Mzuksi? Kitaa hiyo kwa ndichi hapo kati inakuwa nini? Kipande hii haiwi kitu aisee. Hapa vumbi tu kama vipi welikamu kwa jamvini rede kukisanua. Kwani kuna tatizo? Hakuna tatizo! Huku na huku kaka mkubwa nipo kitaa nimechili na wana. Si unanyaka zile za kula tu wepesi na makiksi wa kitaa? Wapo njema hatare, unaweza ukaua dheni ikawa soo kwa kitaa. Hapo ndo stori moo inahapeni. Kenny ni kaka la kaka la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani