Ukosefu wa vyombo vya ufuatiliaji vitendo vya unyanyasaji  bado ni changamoto
Licha ya kuwepo kwa sheria ya kumlinda mtoto dhidi ya unyanyasaji imebainika kuwa kuna tatizo kubwa la kukosekana kwa vyombo maalumu vya ufuatiliaji wa vitendo hivyo kuanzia ngazi ya majumbani ili kuwabaini wanaotenda makosa hayo na kuchukuliwa hatua za kisheria.
Vitendo vya unyanyasaji vimekuwa vikibomoa msingi imara ambao watoto wanahitaji ili wawe na afya bora na maisha yenye tija lakini pia vinasigana na haki ya msingi ya watoto kuishi salama utotoni.
Pamoja na kudaiwa kupungua kwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
VYOMBO VYA HABARI VYA KIJAMII : Vyashauriwa kuwa elimu ya unyanyasaji kijinsia
VYOMBO vya habari vya kijamii (Community Media) vikitumika sawasawa katika kutoa habari vitajenga na kuwa msaada mkubwa wa maendeleo kwa jamii. Katika kuelimisha huko jamii itafahamu madhara yanayokua kwa kasi...
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Vyombo vya dola vitokomeze unyanyasaji kwa wanawake
MWEZI mmoja uliopita niliandika makala iliyoelezea ni kwa jinsi gani imani za kishirikina zinavyochangia kwa kiasi kikubwa katika unyanyasaji kijinsia na hasa wanawake, na hata kusababisha vifo hasa kwa vikongwe...
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
TAMWA yawapongeza wakazi wa Mbezi Msuguri kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia
Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka.
Na Mwandishi wetu
CHAMA Cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimewapongeza wakazi wa mtaa wa Msigwa-Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Saaam, kwa kuchukua hatua za pamoja kulaani kitendo cha kulawiti kilichofanywa na Joachim Anset Shirima (40) kwa mtoto mwenye umri wa miaka (4).
Taarifa ilitolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka, alisema Shirima alifanya tukio hilo hivi karibuni.
Alisema tukio hilo...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Ukosefu wa viwanda vya dawa changamoto kwa MSD
BOHARI ya Dawa (MSD) ni taasisi ya serikali yenye majukumu ya kununua, kuhifadhi, kusambaza dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara. MSD haiongezi faida katika bei za dawa na usambazaji...
10 years ago
Habarileo08 Feb
‘Vitendo vya ukeketaji bado tatizo sugu’
VITENDO vya ukeketaji bado ni tatizo sugu, kutokana na baadhi ya watoa huduma za afya kushiriki kusaidia jambo hilo.
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DtFo8bkayxY/VBmV6eNobEI/AAAAAAAGkGs/zOfF6cXr8I8/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA, JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-DtFo8bkayxY/VBmV6eNobEI/AAAAAAAGkGs/zOfF6cXr8I8/s1600/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-b8Zmny2vKeo/VBmV6oR7rQI/AAAAAAAGkG4/zvICOYWz1fA/s1600/04.jpg)
10 years ago
GPLWANAHABARI NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI WA EAC WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZA NCHI ZAO