Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukosefu wa viwanda vya dawa changamoto kwa MSD

BOHARI ya Dawa (MSD) ni taasisi ya serikali yenye majukumu ya  kununua, kuhifadhi, kusambaza dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara. MSD haiongezi faida katika bei za dawa na usambazaji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Ukosefu wa vyombo vya ufuatiliaji vitendo vya unyanyasaji  bado ni changamoto

Licha ya kuwepo kwa sheria ya kumlinda mtoto dhidi ya unyanyasaji imebainika kuwa kuna tatizo kubwa la kukosekana kwa vyombo maalumu vya ufuatiliaji wa vitendo hivyo kuanzia ngazi ya majumbani ili kuwabaini wanaotenda makosa hayo na kuchukuliwa hatua za kisheria.

Vitendo vya unyanyasaji vimekuwa vikibomoa msingi imara ambao watoto wanahitaji ili wawe na afya bora na maisha yenye tija lakini pia vinasigana na haki ya msingi ya watoto kuishi salama utotoni.

Pamoja na kudaiwa kupungua kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Ahimiza Watanzania kuanzisha viwanda vya dawa

WATANZANIA wenye mitaji wameshauriwa kuwekeza katika viwanda vya dawa, kwani kwa sasa vimebaki viwanda vitatu tu nchini vinavyofanya kazi. Kutokana na hali hiyo, Serikali inalazimika kuagiza dawa nje ya nchi, ambapo kwa mwaka jana ilitumia zaidi ya Sh bilioni 75 kununua dawa.

 

9 years ago

Mwananchi

MSD isimamie kwa dhati maduka ya dawa

Punde baada ya Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli kuingia madarakani, aliagiza Bohari ya Dawa (MSD)  kufungua maduka ya dawa katika hospitali za Serikali za kanda na za rufaa.

 

11 years ago

Michuzi

MSD yatoa utaratibu wa manunuzi ya dawa ndani ya bohari ya dawa

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa Umma kuhusu utaratibu wa manunuzi ndani ya bohari ya dawa. Kulia ni Mkurugenzi wa Manunuzi wa MSD, Heri Mchunga na Mwanasheria, Domonica Meena.

 

9 years ago

Michuzi

MSD kuweka nembo za Serikali kwenye dawa zake, wizi wa dawa kudhibitiwa

Serikali imeamua kuwa itahakikisha dawa zote katika Mahospitali na Vituo vya afya zinapatikana wakati wote. Na kama ambavyo ahadi hiyo imekuwa ikinadiwa na Rais Dkt. Magufuli katika kampeni zake, sasa ni hatua ya utekelezaji wa ahadi hii kwa wananchi umefikia wakati.

Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD),Cosmas Mwaifwani aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho...

 

11 years ago

Mwananchi

NHIF, MSD sasa wajadili mikopo ya dawa kwa CHF

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeanza mazungumzo na Bohari Kuu ya Dawa (MSD),ili bodi hiyo iwakopeshe dawa watoa huduma za afya katika Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).

 

10 years ago

Vijimambo

BOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akiwa ndani ya banda la MSD.
Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo yaliyoyoanza leo na kufikia tamati baada ya wiki mojaOfisa Uhusiano Mkuu wa MSD, Etty Kusiluka (kulia), akimuelekeza jambo Mwanahabari aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo. Katikati ni Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema.
Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (katikati) akipata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mashine ya Cherehani katika utengenezaji wa Barakoa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Uchapishaji cha Five stars, Ashik Abbas Karim (kushoto), leo Aprili 20, 2020 alipokua katika ziara ya Jijini Dar es Salaam ya kutembelea Viwanda vinavyozalisha Barakoa na Vitakasa Mikono. Waziri wa Viwanda na Biashara,  Innocent Bashungwa (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo ya eneo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani