Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHIF, MSD sasa wajadili mikopo ya dawa kwa CHF

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeanza mazungumzo na Bohari Kuu ya Dawa (MSD),ili bodi hiyo iwakopeshe dawa watoa huduma za afya katika Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

NHIF yaonywa mikopo ya dawa kwa watoa huduma

 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe StephenSERIKALI imeuonya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kuwa makini na mpango inaotaka kuuanza katika mwaka ujao wa fedha wa kutoa mikopo ya dawa kwa watoa huduma wote waliosajiliwa.

 

10 years ago

Mwananchi

MSD sasa kufungua maduka ya dawa mitaani

Bohari ya Dawa nchini (MSD) inatarajia kuanzisha maduka ya dawa katika maeneo yote ya nchi kwa ajili ya kurahisisha usambazaji wa dawa na vifaa tiba.

 

10 years ago

Michuzi

NHIF Yawapongeza Viongozi wa Dini kwa kuhamasisha kaya kujiunga na CHF

Meneja Mwandamizi wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) Kanda ya Magharibi – Tabora Bw. Emmanuel Adina (kushoto) akifafanua jambo kwa Afisa Habari wa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Jonas Kamaleki alipofanya mahojiahano naye kuhusu Mfuko wa Afya ya Jamii unavyo nufaisha Vijana wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Vijana inayofanyika Kitaifa Mkoani Tabora.Afisa Masoko na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Bibi Catherine Kameka akielezea jambo kuhusu...

 

10 years ago

Habarileo

Madeni, mwamko mdogo kwa CHF kunakosesha dawa

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Steven Muhapa amesema tatizo la kukosekana kwa dawa katika zahanati na vituo vya afya inachangiwa na ukubwa wa deni na mwamko mdogo wa wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) .

 

9 years ago

Michuzi

RC MAHIZA AITAKA NHIF KUTOA ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI JUU YA UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)

NA MWANDISHI WETU,TANGA.
MKUU WA Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuweza kuongeza wigo mpana wa wanachama ambao wataweza kunufaika na huduma zao.
Alitoa wito huo jana wakati akipokea mashuka 150 yaliyotolewa na mfuko huo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu yaliyotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya vituo vitatu vya afya vya Mkinga, Maramba na...

 

9 years ago

Mwananchi

MSD isimamie kwa dhati maduka ya dawa

Punde baada ya Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli kuingia madarakani, aliagiza Bohari ya Dawa (MSD)  kufungua maduka ya dawa katika hospitali za Serikali za kanda na za rufaa.

 

10 years ago

Habarileo

Waziri aagiza fedha za CHF zipelekwe MSD

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Suleiman Rashid ameviagiza vituo vyote vya huduma za afya nchini kuwasilisha Bohari Kuu ya Dawa (MSD) asilimia 50 ya fedha zote zinazokusanywa kwenye Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) pamoja na zile za “Papo kwa Papo”.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukosefu wa viwanda vya dawa changamoto kwa MSD

BOHARI ya Dawa (MSD) ni taasisi ya serikali yenye majukumu ya  kununua, kuhifadhi, kusambaza dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara. MSD haiongezi faida katika bei za dawa na usambazaji...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF NA CHF LINDI ZATOA ELIMU KWA WANAHABARI NA WARATIBU WA MIFUKO HIYO MKOA WA LINDI

Mkuu wa wilaya ya Lindi,Dr Nassor Ally Hamid akifungua mafunzo kwa wanahabari na waratibu wa NHIF/CHF wa mkoa wa Lindi,Kushoto ni Meneja Nhif Lindi,Bi Fortunata Kullaya na kutoka kulia ni Bw Faustine Nzota,Mshauri wa Mfuko wa Afya na anaefuata ni Mwenyekiti wa Bodi ya Afya Wilaya ya Nachingwea,Christopher Lilai. Meneja wa NHIF Mkoa wa Lindi akitoa taarifa fupi kuhusiana na mfuko huo katika mafunzo ya wanahabari na waratibu wa Mifuko ya CHF na NHIF Lindi. Mratibu wa CHF wilaya ya Liwale...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani