TAMWA yawapongeza wakazi wa Mbezi Msuguri kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia
Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka.
Na Mwandishi wetu
CHAMA Cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimewapongeza wakazi wa mtaa wa Msigwa-Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Saaam, kwa kuchukua hatua za pamoja kulaani kitendo cha kulawiti kilichofanywa na Joachim Anset Shirima (40) kwa mtoto mwenye umri wa miaka (4).
Taarifa ilitolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka, alisema Shirima alifanya tukio hilo hivi karibuni.
Alisema tukio hilo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
TAMWAyapongeza wakazi Mbezi Msuguri
CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimewapongeza wakazi wa mtaa wa Msigwa-Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Saaam, kwa kuchukua hatua za pamoja kulaani kitendo cha kulawiti kilichofanywa na Joachim...
11 years ago
GPLTAMWA YAWAPONGEZA WANAHABARI UANDISHI HABARI ZA UKATILI WA KIJINSIA
10 years ago
Michuzi24 Feb
TAMWA YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI JUU YA KUPAMBANA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Na Fredy Mgunda, Iringa
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.Msisitizo huo...
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
TAMWA yawataka waandishi wa habari kujikita kuripoti unyanyasaji wa kijinsia
Mkufunzi Wence Mushi akitoa elimu kwa wanahabari waliokutana mkoani Iringa.
Na Fredy Mgunda, Iringa
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.
Msisitizo huo ulitolewa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa waandishi wa habari wa mikoa ya nyanda za juu kusini...
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Watumishi Sheria waaswa kupinga unyanyasaji wa kijinsia
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Fanuel Mbonde akifungua mafunzo kuhusu uzingatiwaji na uelewa wa masuala ya jinsia kwa watumishi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkufunzi wa Masuala ya Jinsia na Rais wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani (TAWJA) Jaji Mstaafu Eusebia Munuo akiongea wakati wa mafunzo kuhusu uzingatiwaji na uelewa wa masuala ya jinsia kwa watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria jijini Dar es Salaam mwishoni mwaka wiki.
Mkufunzi wa...
11 years ago
MichuziWatumishi Sheria waaswa kupinga unyanyasaji kijinsia
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Mbezi kwa Msuguri maisha ni magumu kuliko kijijini
UMUHIMU wa barabara na njia za kupita katika sehemu yoyote anayoishi binadamu ndiyo msingi wa maendeleo yake yeye binafsi na viumbe vyote hai vinavyomzunguka. Hata mimea kama hakuna barabara ya...
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
VYOMBO VYA HABARI VYA KIJAMII : Vyashauriwa kuwa elimu ya unyanyasaji kijinsia
VYOMBO vya habari vya kijamii (Community Media) vikitumika sawasawa katika kutoa habari vitajenga na kuwa msaada mkubwa wa maendeleo kwa jamii. Katika kuelimisha huko jamii itafahamu madhara yanayokua kwa kasi...