VYOMBO VYA HABARI VYA KIJAMII : Vyashauriwa kuwa elimu ya unyanyasaji kijinsia
VYOMBO vya habari vya kijamii (Community Media) vikitumika sawasawa katika kutoa habari vitajenga na kuwa msaada mkubwa wa maendeleo kwa jamii. Katika kuelimisha huko jamii itafahamu madhara yanayokua kwa kasi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
10 years ago
Dewji Blog26 May
Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.
9 years ago
StarTV04 Jan
Ukosefu wa vyombo vya ufuatiliaji vitendo vya unyanyasaji  bado ni changamoto
Licha ya kuwepo kwa sheria ya kumlinda mtoto dhidi ya unyanyasaji imebainika kuwa kuna tatizo kubwa la kukosekana kwa vyombo maalumu vya ufuatiliaji wa vitendo hivyo kuanzia ngazi ya majumbani ili kuwabaini wanaotenda makosa hayo na kuchukuliwa hatua za kisheria.
Vitendo vya unyanyasaji vimekuwa vikibomoa msingi imara ambao watoto wanahitaji ili wawe na afya bora na maisha yenye tija lakini pia vinasigana na haki ya msingi ya watoto kuishi salama utotoni.
Pamoja na kudaiwa kupungua kwa...
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DtFo8bkayxY/VBmV6eNobEI/AAAAAAAGkGs/zOfF6cXr8I8/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA, JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-DtFo8bkayxY/VBmV6eNobEI/AAAAAAAGkGs/zOfF6cXr8I8/s1600/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-b8Zmny2vKeo/VBmV6oR7rQI/AAAAAAAGkG4/zvICOYWz1fA/s1600/04.jpg)
10 years ago
Habarileo18 Jan
Vyombo vya habari vyatakiwa kusaidia elimu Katiba mpya
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk Fenella Mukangara amewataka wanahabari kutoa elimu kuhusu kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa na uchaguzi mkuu, ili wananchi waweze kufanya uamuzi sahihi wakati utakapowadia.
10 years ago
Dewji Blog13 Nov
Serikali, UN, vyombo vya habari kutoa elimu dhidi ya Ebola
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma kutoka Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, Said Makora (kulia), akielezea jinsi Wizara hiyo inavyopambana kutoa elimu ya ugonjwa wa Ebola kwa wananchi wakati wa kongamano lililoandaliwa na UNESCO, WHO, UNICEF, Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, uliofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Novemba 11,2014 jijini Dar es Salaam mkutano huo uliowakutanisha wamiliki wa Redio za kijamii kuwaelimsha Radio za Kijamii za...