Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vyombo vya habari vyatakiwa kusaidia elimu Katiba mpya

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella MukangaraWAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk Fenella Mukangara amewataka wanahabari kutoa elimu kuhusu kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa na uchaguzi mkuu, ili wananchi waweze kufanya uamuzi sahihi wakati utakapowadia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Vyombo vya habari vyatakiwa kukuza utalii

Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), imesema inatambua mchango wa vyombo vya habari katika kukuza na kundeleza sekta ya utalii wa ndani na nje na kwamba wataendelea kushirikiana ili kutokomeza vitendo vya ujangili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vyombo vya habari vimesinzia mchakato wa katiba mpya

NIMEANGALIA na kusoma baadhi ya magazeti ya jana.  Mengi yameandika kuhusu uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba. Sijaridhika na  kazi iliyofanywa na vyombo vya habari hasa magazeti katika mchakato wa kuelekea Katiba...

 

11 years ago

Michuzi

LHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA UTUNGAJI WA KATIBA MPYA TANZANIA UNAOENDELEA DODOMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa Katiba Mpya ya Tanzania unaoendelea Dodoma. Kushoto ni Mtetezi wa Haki za Wanawake, Ananilea Nkya.
Mtetezi wa Haki za Wanawake, Ananilea Nkya (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Ofisa Mipango kutoka Taasisi ya Sikika, Patrick Kinemo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha...

 

9 years ago

Dewji Blog

RC Arusha aviomba vyombo vya habari kusaidia uchaguzi mkuu kuwa wa amani

MMGL0653

Pichani ni  Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda.

Na Woinde Shizza, Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda, amevitaka vyombo vya habari nchini kusaidia uchaguzi mkuu mwaka huu umalizike kwa amani na utulivu ili Tanzania iendelee kuwa na sifa ya amani Barani Afrika.

Akizungumza katika tamasha la 10 la vyombo vya habari mkoani hapa, lililowashirikisha wanahabari kutoka mkoa wa Arusha, Manyara na jijini Dar es Salaam, Ntibenda, alisema vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa amani na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

VYOMBO VYA HABARI VYA KIJAMII : Vyashauriwa kuwa elimu ya unyanyasaji kijinsia

VYOMBO vya habari vya kijamii (Community Media) vikitumika sawasawa katika kutoa habari vitajenga na  kuwa msaada mkubwa wa maendeleo kwa jamii. Katika kuelimisha huko jamii  itafahamu madhara yanayokua kwa kasi...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUANDIKA HABARI BILA KUPOTOSHA UMMA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba. Mjumbe wa Kamati Namba Nne…

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba avitaka Vyombo vya Habari kuandika habari bila kupotosha Umma.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba.Mjumbe wa Kamati Namba Nne ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Christopher Ole Sendeka akiongea na wandishi wa Habari kuhusu kazi na majukumu ya Kamati yake leo 28 Agosti, 2014. Mjumbe wa Kamati Namba Tatu ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Dkt. Francis Michael akiongea na wandishi wa Habari kuhusu kazi na majukumu ya Kamati yake...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed Kubenea kutoka Mwanahalisi Publishers na Mwanasheria, Godfrey...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani