Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMWA YAWAPONGEZA WANAHABARI UANDISHI HABARI ZA UKATILI WA KIJINSIA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza na wahariri na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Makao Makuu ya Ofisi hizo, Sinza Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wanahabari Lindi wanolewa kuhusiana na Uandishi wa Ukatili wa Kijinsia

Na Abdulaziz Video,Mnazi Mmoja ,Lindi.
Sekta ya Habari Imetakiwa kutoa elimu zaidi ya ukatili wa Kijinsia ili kujenga Taifa lenye amani kwa wananchi Bila kujali Jinsia ,Dini na kabila.
Wito huo umetolewa na Dr Monica Mhoja , Naibu Mkurugenzi wa mradi wa Champion unaofadhiliwa na Usaid alipokuwa akitoa mada katika warsha ya wanahabari wa Mkoa wa Lindi inayoendelea katika Ukumbi wa Sakina Mnazi mmoja Manispaa ya Lindi.
Dr Mhoja amebainisha kuwa sekta ya habari ina wajinu mkubwa kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

TAMWA yawapongeza wakazi wa Mbezi Msuguri kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia

tamwa

 Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka.

Na Mwandishi wetu

CHAMA Cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimewapongeza wakazi wa mtaa wa Msigwa-Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Saaam, kwa kuchukua hatua za pamoja kulaani kitendo cha kulawiti kilichofanywa na Joachim Anset Shirima (40) kwa mtoto mwenye umri wa miaka (4).

Taarifa ilitolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka, alisema Shirima alifanya tukio hilo hivi karibuni.

Alisema tukio hilo...

 

11 years ago

Habarileo

Tamwa wataka jamii kukabili ukatili wa kijinsia

CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), leo kinaungana na wanawake kote nchini kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani huku kikitaka jamii ielekeze nguvu katika kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu.

 

10 years ago

Vijimambo

TAMWA Kuwajengea Uwezo Waandishi Uandishi Habari za Uchaguzi

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gradness Munuo akizungumza na baadhi ya Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari leo jijini Dar es Salaam katika mkutano na wahariri hao. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gradness Munuo akizungumza na baadhi ya Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari leo jijini Dar es Salaam katika mkutano na wahariri hao.Sehemu ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika mkutano ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam. Sehemu ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika mkutano ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.Sehemu ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika mkutano ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam. Sehemu ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika mkutano ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake...

 

10 years ago

Dewji Blog

TAMWA yawataka waandishi wa habari kujikita kuripoti unyanyasaji wa kijinsia

IMG_3162

Mkufunzi Wence Mushi akitoa elimu kwa wanahabari waliokutana mkoani Iringa.

Na Fredy Mgunda, Iringa

Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.

Msisitizo huo ulitolewa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa waandishi wa habari wa mikoa ya nyanda za juu kusini...

 

10 years ago

Michuzi

TAMWA YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI JUU YA KUPAMBANA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

 MWANAHABARI MKONGWE WENCE  MUSHI AKITOA ELIMU KWA WANAHABARI WALIOKUTANA MKOANI IRINGA WANAHABARI WAKIWA MAKINI KUMSIKILIZA MTOA ELIMUWANAHABARI WAKIFUATILIA NINI KINACHOENDELEA KWENYE MAFUNZO HAYO
 Na Fredy Mgunda, Iringa

Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.Msisitizo huo...

 

11 years ago

GPL

WARSHA YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UANDISHI WA HABARI ZA KITAKWIMU YAFANYIKA MKOANI MOROGORO‏

Mkurugenzi wa Takwimu za Kijamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Morice Oyuke (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mjini Morogoro jana wakati akifungua Warsha ya siku moja ya kuwajengea uwezo wanahabari kuhusu namna bora ya kuandika habari za kitakwimu. Kulia ni Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa, Daniel Masolwa. Mtakwimu, Stephano Cosmas, akitoa mada katika warsha… ...

 

11 years ago

Michuzi

WANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI

Baadhi ya waandihi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wanaoshirki mafunzo ya Internet kwa waandishi wa habari wa mikoani yanayotolewa na MISA Tanzania kwa kushirikiana na VIKES.Mratibu wa Mafunzo ya Internet ,Andrew Marawiti akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa mafunzo hayo.Mmoja wa wakufunzi katika mafunzo hayo Seif Jigge akitoa maelezo kwa wanahabri wanaohudhuria mafunzo ya Internet  yanayofanyika katika Chuo cha Ufundi VETA mkoa wa KilimanjaroBOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani