Tamwa wataka jamii kukabili ukatili wa kijinsia
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), leo kinaungana na wanawake kote nchini kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani huku kikitaka jamii ielekeze nguvu katika kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/02/IMG_5808.jpg)
TAMWA YAWAPONGEZA WANAHABARI UANDISHI HABARI ZA UKATILI WA KIJINSIA
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
TAMWA yawataka waandishi wa habari kujikita kuripoti unyanyasaji wa kijinsia
Mkufunzi Wence Mushi akitoa elimu kwa wanahabari waliokutana mkoani Iringa.
Na Fredy Mgunda, Iringa
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.
Msisitizo huo ulitolewa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa waandishi wa habari wa mikoa ya nyanda za juu kusini...
9 years ago
Mwananchi08 Dec
Mitalaa ya kupinga ukatili ipelekwe shuleni - Tamwa
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
TAMWA yawapongeza wakazi wa Mbezi Msuguri kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia
Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka.
Na Mwandishi wetu
CHAMA Cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimewapongeza wakazi wa mtaa wa Msigwa-Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Saaam, kwa kuchukua hatua za pamoja kulaani kitendo cha kulawiti kilichofanywa na Joachim Anset Shirima (40) kwa mtoto mwenye umri wa miaka (4).
Taarifa ilitolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka, alisema Shirima alifanya tukio hilo hivi karibuni.
Alisema tukio hilo...
10 years ago
Vijimambo20 Mar
Wahariri, Tamwa wakutana kufanya tathmini ukatili unaosababishwa na pombe
![Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gladness Munuo (katikati) akionesha ripoti ya utafiti juu ya matumizi ya pombe na inavyochangia unyanyasaji wa kijinsia kwa Wilaya ya Kinondoni. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la IOGT ambalo ndio wawezeshaji wa utafiti huo. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la IOGT. Ripoti hiyo imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0024.jpg)
![Mwakilishi wa Shirika la IOGT nchini Tanzania (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kabla ya uzinduzi wa ripoti ya matumizi ya pombe na athari katika vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0015.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Ukatili wa kijinsia ukomeshwe
MASHIRIKA matano yanayojishughulisha na utetezi wa haki za kijinsia kupitia mradi wao wa GEWE II, ambao ni mpango wa kutokomeza ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto...
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Ukatili wa kijinsia jeshini ukomeshwe
11 years ago
Habarileo20 Feb
Ukatili wa kijinsia wachochea Ukimwi
IMEELEZWA kuwa ukatili wa kijinsia ni mojawapo ya njia kuu inayoeneza Ukimwi na ongezeko lolote la vitendo hivyo linachochea pia ongezeko la maambukizo. Kauli hiyo imetolewa na Meneja mradi wa kupambana na ukatili wa kijinsia ili kupunguza maambukizi ya virusi vya Ukimwi, Muhammad Hassan kutoka Shirika la WOWAP.