Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitalaa ya kupinga ukatili ipelekwe shuleni - Tamwa

Chama cha Waandishi wa Habari  Wanawake (Tamwa), kimeitaka Serikali kuingiza shuleni mitalaa ya kupinga unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto na wanawake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Tamwa wataka jamii kukabili ukatili wa kijinsia

CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), leo kinaungana na wanawake kote nchini kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani huku kikitaka jamii ielekeze nguvu katika kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu.

 

11 years ago

GPL

TAMWA YAWAPONGEZA WANAHABARI UANDISHI HABARI ZA UKATILI WA KIJINSIA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza na wahariri na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Makao Makuu ya Ofisi hizo, Sinza Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Wahariri, Tamwa wakutana kufanya tathmini ukatili unaosababishwa na pombe

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gladness Munuo (katikati) akionesha ripoti ya utafiti juu ya matumizi ya pombe na inavyochangia unyanyasaji wa kijinsia kwa Wilaya ya Kinondoni. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la IOGT ambalo ndio wawezeshaji wa utafiti huo. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la IOGT. Ripoti hiyo imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gladness Munuo (katikati) akionesha ripoti ya utafiti juu ya matumizi ya pombe na inavyochangia unyanyasaji wa kijinsia kwa Wilaya ya Kinondoni. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la IOGT ambalo ndio wawezeshaji wa utafiti huo. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la IOGT. Ripoti hiyo imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam.Mwakilishi wa Shirika la IOGT nchini Tanzania (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kabla ya uzinduzi wa ripoti ya matumizi ya pombe na athari katika vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia. Mwakilishi wa Shirika la IOGT nchini Tanzania (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kabla ya uzinduzi wa ripoti ya matumizi...

 

10 years ago

Dewji Blog

TAMWA yawapongeza wakazi wa Mbezi Msuguri kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia

tamwa

 Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka.

Na Mwandishi wetu

CHAMA Cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimewapongeza wakazi wa mtaa wa Msigwa-Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Saaam, kwa kuchukua hatua za pamoja kulaani kitendo cha kulawiti kilichofanywa na Joachim Anset Shirima (40) kwa mtoto mwenye umri wa miaka (4).

Taarifa ilitolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka, alisema Shirima alifanya tukio hilo hivi karibuni.

Alisema tukio hilo...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tuungane kupinga ukatili wa kijinsia’

>Jamii imetakiwa kufanya jitihada za kutosha kuhakikisha vitendo vya ukatili wa kijinsia vinakomeshwa badala ya kuwaachia jukumu hilo wanasiasa pekee.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TAS kuandamani kupinga ukatili

CHAMA cha Albino Tanzania (TAS), Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu (Shivyawata) wameandaa maandamano ya amani kulaani mauaji ya watu...

 

10 years ago

Vijimambo

Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP

Maandamano ya washiriki wa hafla ya Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP. Maandamano ya washiriki wa hafla ya Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP.Msanii Christian Bella akiwatumbuiza washiriki katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yameandaliwa na TGNP Mtandao. Msanii Christian Bella akiwatumbuiza washiriki katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yameandaliwa na TGNP MtandaoMgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi.  Mary Massay akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa eneo la kula kiapo kwa washiriki kupinga ukatili. Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. Mary Massay akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa eneo la kula kiapo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

PWMO yajikita kupinga ukatili wa kijinsia

WANAHABARI wanawake mkoani Pwani wamezindua chao kinachofahamika kwa jina la PWMO. Uzinduzi huo ulikuwa na kaulimbiu ya kupinga ukatili wa kijinsia unaofanywa katika maeneo mbalimbali  ndani na nje ya mkoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani