Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto: Bunge lidhibiti watendaji serikalini

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto amesema Bunge lina kila sababu kupitia sheria yake ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kulinda hadhi yake kutoka kwa watendaji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU SERIKALINI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha watendaji wakuu serikalini kilichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.(picha na Freddy Maro)

 

5 years ago

Michuzi

RC Mongella: Watendaji Serikalini waelimishwe kutoa haki kwa wakati

Na Mbaraka KambonaMKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella ameishauri Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kuandaa mpango maalamu wa kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Watendaji wa ngazi za mikoa ili waweze kutoa haki za wananchi kwa wakati. 
Mongella alitoa rai hiyo katika kikao kifupi kilichofanyika baina yake na Mwenyekiti wa THBUB, Jaji (Mst.) Mathew Mwaimu alipomtembelea ofisini kwake jijini Mwanza Aprili 20, 2020.
Akiongea katika kikao hicho...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mitambo ya kisasa ya video serikalini, kitanzi cha posho kwa watendaji’

Zanzibar. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa amesema kuwa baadhi ya watendaji wa Serikali na idara zake wamekuwa wakipiga chenga kutumia mitambo ya video katika mikutano ya kiutendaji na mafunzo kwa kuhofia kukosa posho za kujikimu na safari, wakati mitambo hiyo imewekwa ili kusaidia kupunguza matumizi ya uendeshaji wa shughuli za Serikali.

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati ya Bunge yataka watendaji Maliasili wang’olewe

>Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,  Maliasili na Utalii imependekeza  watendaji wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii akiwemo Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexanda Songorwa,  kuwajibishwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kwa  kuhujumu Operesheni Tokomeza Ujangili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto atikisa Bunge

MJUMBE wa Bunge la Katiba, Zitto Zuberi Kabwe, amesema Tanzania ina uwezo wa kugharimia idadi yoyote ya serikali zitakazoridhiwa na Watanzania kwakuwa ina uwezo mkubwa kifedha. Zitto amesema hakuna uhusiano...

 

10 years ago

Habarileo

Zitto kuliaga rasmi Bunge?

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe ZittoMBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema) jana aliteta faragha na Spika wa Bunge, Anne Makinda kushauriana naye kama ajiondoe kwenye ubunge baada ya chama chake kutangaza kumvua uanachama.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge laigeuka Kamati ya Zitto

 Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah amesema Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), chini ya Zitto Kabwe haikufuata utaratibu ilipoagiza Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwanda na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, James Andilile wakamatwe na polisi kwa kushindwa kuwasilisha mikataba 26 ya gesi na mapitio yake mbele ya kamati hiyo tangu mwaka 2012.

 

10 years ago

Mtanzania

Bunge lamkingia kifua Zitto

Zitto_Kabwe_2011Patricia Kimelemeta na Grace Shitundu
OFISI ya Bunge imesema haijapata barua yoyote kuhusu kuvuliwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema).
Kauli ya hiyo ya Bunge imekuja siku moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutangaza kumvua uanachama Zitto, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah, alisema kutokana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani