Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Bunge yataka watendaji Maliasili wang’olewe

>Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,  Maliasili na Utalii imependekeza  watendaji wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii akiwemo Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexanda Songorwa,  kuwajibishwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kwa  kuhujumu Operesheni Tokomeza Ujangili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Viongozi wauza ardhi wang’olewe-Lowassa

John Mhala, Monduli WANANCHI wa Jimbo la Monduli wilayani Monduli mkoani Arusha wametakiwa kuwang’oa madarakani viongozi wa vijiji wanaoshiriki kinyume na utaratibu kuuza ardhi bila ya kufuata utaratibu kwa kuendekeza zawadi ya bia na nyama choma.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mauaji ya Kiteto; Umbulla, Mbwilo wang’olewe

KUFUATIA mauaji  ya watu takribani 30 kuuawa kinyama wilayani Kiteto, bila kuwepo uwajibikaji,  ni wakati muafaka sasa Mkuu wa wilaya hiyo, Martha Umbulla na  Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Eraston...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yazibana wizara za Ardhi, Maliasili

Lembeli JamesKAMATI ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, imezitaka Wizara za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na ile ya Maliasili na Utalii, kuhakikisha zinamaliza mgogoro wa ardhi uliopo katika eneo la Hifadhi ya Saadani bila kulitumia Bunge kwa maslahi yao binafsi.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yaikataa bajeti Maliasili na Utalii

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu, ya Maliasili na Utalii, James Lembeli KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili na Utalii jana ilikataa kujadili bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii huku ikiwataka Waziri na watendaji wake kuondoka ukumbi wa mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dar es Salaam ambako walikuwa wakutane kwa majadiliano.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yataka walimu wasajiliwe

KAMATI ya Bunge ya Huduma za Jamii imetaka walimu nchini kusajiliwa ikiwa ni pamoja na wanaofanya kazi katika shule binafsi ili kuwatambua na kuweka kiwango cha msingi cha kutoa huduma kote nchini.

 

10 years ago

StarTV

Kamati ya bunge maliasili, yaitupia lawama Wizara ya Ujenzi.

Na Immaculate Kilulya,

Dar Es Salaam.

 

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, imekataa kujadili Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii baada ya Wizara hiyo kukiuka makubaliano na kamati hiyo na kusababisha hasara kwa taifa baada ya kuziba mianya ya kuziingizia fedha hifadhi za taifa.

 

Miongoni mwa mianya hiyo ni pamoja na utaratibu wa kuingia kwenye hifadhi mara mbili uliosababisha hasara ya Shilingi bilioni 15 kwenye Hifadhi ya Ngorongoro, huku ucheleweshwaji wa tozo...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira wakagua viwanda

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe. Dkt injinia Binilith Satano Mahenge (kulia) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira  Mhe. Abdulkarim Hassan Shaha (wapili kulia),Pamoja na  Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira wakikaguwa Mazingira katika moja ya kiwanda cha Mifuko ya Plastiki (East African Industy)kilichopo Mbagala jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Mhe....

 

10 years ago

Vijimambo

Ziara ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika Migodi

 Sehemu ya Mabwawa yanayotumika katika shughuli za uzalishaji katika Mgodi wa Geita.

 Kutoka kulia, Mh. James Lembeli Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira akitoa maagizo kwa wataalamu wa mgodi wa Geita (hawapo pichani) juu ya Hifadhi endelevu ya Mazingira kwa mujibu wa Sheria. Wapili kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu na wengine ni wajumbe wa Kamati hiyo. Mtaalamu kutoka Mgodi wa Geita akitoa ufafanuzi kwa Kamati ya Bunge ya Ardhi,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kamati ya Bunge yataka kikosi kulinda miundombinu DART

KAMATI ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imetoa agizo kwa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuharakisha kufanya makubaliano na Jeshi la Polisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani