Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Bunge yataka kikosi kulinda miundombinu DART

KAMATI ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imetoa agizo kwa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuharakisha kufanya makubaliano na Jeshi la Polisi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

DART ibuni mbinu kulinda miundombinu yake

Hapana shaka kwamba yeyote ambaye ametembelea mradi wa ujenzi wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART), ni shahidi wa uharibifu na hujuma zinazofanywa kwenye miundombinu ya mradi huo wa pekee katika bara la Afrika.

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YA YAAGIZA ULINZI WA MIUNDOMBINU

KAMATI YA YAAGIZA ULINZI WA MIUNDOMBINU
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Serikali kuhakikisha inaweka ulinzi madhubuti katika miundombinu ya mradi wa barabara za juu (Interchange) katika makutano ya eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam ili idumu kwa kipindi kirefu. 
Mradi huo wenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katika njia za barabara za Morogoro, Mandela na Sam Nujoma unagharimu kiasi cha shilingi bilioni 229 na huku Serikali ikichangia fedha za fidia kwa wananchi...

 

10 years ago

Habarileo

Bunge lataka miundombinu DART ilindwe

KAMATI ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa agizo kwa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuharakisha kufanya makubaliano na Jeshi la Polisi nchini ili kuunda kikosi maalumu cha ulinzi wa miundombinu ya mradi huo ambayo imekuwa ikihujumiwa na baadhi ya watu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kamati ya Bunge yashauri DART ipatiwe sehemu ya kodi ya mafuta

WIZARA ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imetakiwa kuharakisha mchakato wa kupata sheria itakayosaidia Wakala wa Mradi wa Mbasi Yaendayo Haraka (DART) kupata sehemu ya kodi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yataka walimu wasajiliwe

KAMATI ya Bunge ya Huduma za Jamii imetaka walimu nchini kusajiliwa ikiwa ni pamoja na wanaofanya kazi katika shule binafsi ili kuwatambua na kuweka kiwango cha msingi cha kutoa huduma kote nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati ya Bunge yataka watendaji Maliasili wang’olewe

>Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,  Maliasili na Utalii imependekeza  watendaji wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii akiwemo Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexanda Songorwa,  kuwajibishwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kwa  kuhujumu Operesheni Tokomeza Ujangili.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kamati ya Bunge yataka mradi umalizike kwa wakati



                                                                                    NA WILLIAM SHECHAMBO, Morogoro Mwenyekiti, Prof. Msolwa (Mwenye shati jeupe)KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo, na Maji, imesisitiza kukamilika kwa mradi wa maji wa Ubena Zomozi, ulioko Chalinze mkoani Pwani katika muda uliopangwa. Imesema hatua hiyo itawapa unafuu wananchi wa vijiji kadhaa vya wilaya za Bagamoyo na baadhi ya maeneo ya Morogoro, kutokana na kukumbwa na shida ya maji kwa kipindi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati ya Bunge PAC yabaini SMZ kulinda mafisadi

>Kamati ya  Baraza la Wawakilishi ya Kuchunguza na Kudhibiti Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC), imesema vitendo vya wizi na matumizi ya fedha za umma kinyume na sheria vinaendelea kushamiri kutokana na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kushindwa kuwachukulia hatua za kisheria watu waliohusishwa na vitendo vya ufisadi visiwani humo.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yataka Ofisa Utumishi Nkasi ashushwe cheo

Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Felister BuraKAMATI ndogo ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeitaka Wizara inayohusika na Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (Tamisemi) kumuondoa na kumshusha cheo Ofisa Utumishi wa Halmashauri ya Nkasi, Deogratias Mboya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani