Kamati ya Bunge yataka mradi umalizike kwa wakati
![](http://4.bp.blogspot.com/-3KbBe5hg-10/VP9evUqT1sI/AAAAAAAAB54/p-m4Kp7ltYs/s72-c/Moro%2B(2).jpg)
NA WILLIAM SHECHAMBO, Morogoro Mwenyekiti, Prof. Msolwa (Mwenye shati jeupe)KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo, na Maji, imesisitiza kukamilika kwa mradi wa maji wa Ubena Zomozi, ulioko Chalinze mkoani Pwani katika muda uliopangwa. Imesema hatua hiyo itawapa unafuu wananchi wa vijiji kadhaa vya wilaya za Bagamoyo na baadhi ya maeneo ya Morogoro, kutokana na kukumbwa na shida ya maji kwa kipindi...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Feb
Kamati ya Bunge yataka walimu wasajiliwe
KAMATI ya Bunge ya Huduma za Jamii imetaka walimu nchini kusajiliwa ikiwa ni pamoja na wanaofanya kazi katika shule binafsi ili kuwatambua na kuweka kiwango cha msingi cha kutoa huduma kote nchini.
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Kamati ya Bunge yataka watendaji Maliasili wang’olewe
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Kamati ya Bunge yataka kikosi kulinda miundombinu DART
KAMATI ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imetoa agizo kwa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuharakisha kufanya makubaliano na Jeshi la Polisi...
10 years ago
Habarileo13 Jan
Kamati ya Bunge yataka Ofisa Utumishi Nkasi ashushwe cheo
KAMATI ndogo ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeitaka Wizara inayohusika na Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (Tamisemi) kumuondoa na kumshusha cheo Ofisa Utumishi wa Halmashauri ya Nkasi, Deogratias Mboya.
5 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YATAKA SEKTA BINAFSI ISHIRIKISHWE KUSAMBAZA GESI ASILIA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kushirikisha sekta binafsi katika usambazaji wa gesi asilia nchini ili kuongeza kasi yake, hivyo kuinufaisha jamii ipasavyo.
Hayo yalibainishwa jana, Machi 14, 2020 na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dunstan Kitandula wakati akifanya majumuisho baada ya Wajumbe wa Kamati husika kutembelea baadhi ya makazi ya wananchi wa Dar es Salaam, waliounganishiwa gesi asilia kwa matumizi ya kupikia.
Alisema kuwa...
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
VETA yaendesha semina kwa wabunge wa kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma za jamii juu ya mradi wa kuongeza sifa za kuajiriwa — EEVT jijini Dar
Mh Jenista Mhagama (Kushoto) akiongea na baadhi ya wabunge kutoka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii na baadhi ya wafanyakazi wa VETA kutoka Makao Makuu na VETA Kanda ya Kusini wakati wa semina iliyoandaliwa na VETA Kwaajili ya wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii juu ya mradi wa Kuongeza sifa za kuajiliwa – EEVT iliyofanyika katika Ukumbi wa Benki wa Kuu ya Tanzania, Jijini Dar Es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh Magreth Sitta na Kulia ni...
9 years ago
Mtanzania07 Jan
Kamati za Bunge kutangazwa wakati wowote
SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KAMATI za Bunge zinatarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa, kabla ya mkutano wa pili wa Bunge la 11 kuanza Januari 26, MTANZANIA limebaini.
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Ofisi za Bunge zimelieleza gazeti hili kwamba, suala hilo lipo jikoni na wiki hii Spika anatarajiwa kutangaza kamati za Bunge.
Akizungumzia hilo jana jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Habari, Owen Mwandumbya alikiri suala la kamati za Bunge kushughulikiwa na Spika, Job...
11 years ago
MichuziVETA YAENDESHA SEMINA KWA WABUNGE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA ZA JAMII JUU YA MRADI WA KUONGEZA SIFA ZA KUAJILIWA - EEVT LEO JIJINI DAR
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wBnq1ntyIYA/XnEkLyhNbMI/AAAAAAALkMk/ZUcIeek5KQ4oPTcYGgtWVbwz2fCXuT9OgCLcBGAsYHQ/s72-c/3-39.jpg)
KAMATI YA BUNGE YAVUTIWA UTEKELEZAJI MRADI WA VIWANJA ILEMELA
![](https://1.bp.blogspot.com/-wBnq1ntyIYA/XnEkLyhNbMI/AAAAAAALkMk/ZUcIeek5KQ4oPTcYGgtWVbwz2fCXuT9OgCLcBGAsYHQ/s640/3-39.jpg)
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akifafanua jambo wakati akijibu hoja za baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii wakati wa kupokea taarifa ya utekelezaji mradi wa viwanja katika halmashauri ya manispaa ya ilemela mkoani Mwanza jana. Kushoto kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Kamati Kemilembe Lwota.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/28de3501-4711-4128-9914-7816fa4dee94.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mary Makondo akijibu hoja kutoka kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na...