KAMATI YA BUNGE YATAKA SEKTA BINAFSI ISHIRIKISHWE KUSAMBAZA GESI ASILIA
Veronica Simba – Dar es Salaam
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kushirikisha sekta binafsi katika usambazaji wa gesi asilia nchini ili kuongeza kasi yake, hivyo kuinufaisha jamii ipasavyo.
Hayo yalibainishwa jana, Machi 14, 2020 na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dunstan Kitandula wakati akifanya majumuisho baada ya Wajumbe wa Kamati husika kutembelea baadhi ya makazi ya wananchi wa Dar es Salaam, waliounganishiwa gesi asilia kwa matumizi ya kupikia.
Alisema kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi11 Nov
NYANZA: ATE yataka ‘Hapa Kazi Tu’ hadi sekta binafsi
10 years ago
Habarileo06 Feb
Kamati ya Bunge yataka walimu wasajiliwe
KAMATI ya Bunge ya Huduma za Jamii imetaka walimu nchini kusajiliwa ikiwa ni pamoja na wanaofanya kazi katika shule binafsi ili kuwatambua na kuweka kiwango cha msingi cha kutoa huduma kote nchini.
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Kamati ya Bunge yataka watendaji Maliasili wang’olewe
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Kamati ya Bunge yataka kikosi kulinda miundombinu DART
KAMATI ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imetoa agizo kwa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuharakisha kufanya makubaliano na Jeshi la Polisi...
10 years ago
Uhuru NewspaperKamati ya Bunge yataka mradi umalizike kwa wakati
NA WILLIAM SHECHAMBO, Morogoro Mwenyekiti, Prof. Msolwa (Mwenye shati jeupe)KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo, na Maji, imesisitiza kukamilika kwa mradi wa maji wa Ubena Zomozi, ulioko Chalinze mkoani Pwani katika muda uliopangwa. Imesema hatua hiyo itawapa unafuu wananchi wa vijiji kadhaa vya wilaya za Bagamoyo na baadhi ya maeneo ya Morogoro, kutokana na kukumbwa na shida ya maji kwa kipindi...
10 years ago
Habarileo13 Jan
Kamati ya Bunge yataka Ofisa Utumishi Nkasi ashushwe cheo
KAMATI ndogo ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeitaka Wizara inayohusika na Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (Tamisemi) kumuondoa na kumshusha cheo Ofisa Utumishi wa Halmashauri ya Nkasi, Deogratias Mboya.
11 years ago
MichuziMKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA
5 years ago
MichuziSEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA
Na. WAMJW-DSM
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...
5 years ago
MichuziSERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA
Na Woinde Shizza,ARUSHA
SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.
Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...