NYANZA: ATE yataka ‘Hapa Kazi Tu’ hadi sekta binafsi
Chama cha Waajiri TAnzania (ATE) kimesema kaulimbiu ya ‘Hapa Kazi Tu’ inatakiwa kuwafikia wafanyakazi wa sekta binafsi badala ya watumishi wa umma pekee ili wabadike na kuleta maendeleo nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YATAKA SEKTA BINAFSI ISHIRIKISHWE KUSAMBAZA GESI ASILIA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kushirikisha sekta binafsi katika usambazaji wa gesi asilia nchini ili kuongeza kasi yake, hivyo kuinufaisha jamii ipasavyo.
Hayo yalibainishwa jana, Machi 14, 2020 na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dunstan Kitandula wakati akifanya majumuisho baada ya Wajumbe wa Kamati husika kutembelea baadhi ya makazi ya wananchi wa Dar es Salaam, waliounganishiwa gesi asilia kwa matumizi ya kupikia.
Alisema kuwa...
11 years ago
Michuzi
SHULE BINAFSI NA MCHANGO WAKE WA PEKEE KATIKA SEKTA YA ELIMU HAPA NCHINI

Hiyo imefanya serikali kuchagua wale wenye uelewa wa juu pekeekujiunga na shuleza elimu ya juu, huku wale ambao pengine kwa bahatimbaya wamekwama kufikia alama zilizowekwa na serikali, wakiokolewa nashule binafsi.
Hii imesaidia idadi kubwa ya watoto nchini kupata elimu ya sekondaritofauti na miaka ya nyuma ambapo watoto wengi waliokuwa...
11 years ago
Michuzi
MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

5 years ago
Michuzi
DKT MLIMUKA AONGOZA UZINDUZI WA MWONGOZO WA KAZI KWA NCHI ZA SADC KUPITIA JUKWAA LA SEKTA BINAFSI SPSF
Jukwaa la Sekta binafsi SADC (SPSF) imezindua Sheria za Kazi za SADC ikijumuisha sera, vipaumbele, maswala, na mipango kwa wafanyakazi wa sekta binafsi.
SPSF kwa msaada wa Shirika la Kazi la Kimataifa (ILO), waliweza kutunga mwongozo wa Sheria ya Kazi katika Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika.
Uzinduzi wa mwongozo huo wa sheria ni kwa lengo la ufikiaji kwa sheria za kazi kwa nchi zote 16 za Ukanda wa Kusini mwa jangwa la sahara SADC kwa kufuata wajibu...
5 years ago
Michuzi
SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA
Na. WAMJW-DSM
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...
5 years ago
Michuzi
SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA
Na Woinde Shizza,ARUSHA
SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.
Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...
11 years ago
Habarileo30 Apr
JK azindua mfuko wa sekta binafsi
RAIS Jakaya Kikwete amezindua mfuko wa sekta binafsi wa kuwezesha wawekezaji nchini katika kupata mtaji, utakaokuza biashara na kukuza uchumi nchini. Mfuko huo unajulikana kama Mkoba, unalenga kutoa mitaji inayoanzia dola milioni moja hadi milioni 15.
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Serikali ichangie sekta binafsi
11 years ago
Habarileo21 Aug
Sekta binafsi kudhibiti ujangili
SEKTA binafsi imeeleza nia ya kushiriki vita dhidi ya majangili wanaotishia maisha ya wanyama hususani tembo na wengineo kupitia mfumo wa ushirikiano kati ya sekta binafsi na umma (PPP).