JK azindua mfuko wa sekta binafsi
RAIS Jakaya Kikwete amezindua mfuko wa sekta binafsi wa kuwezesha wawekezaji nchini katika kupata mtaji, utakaokuza biashara na kukuza uchumi nchini. Mfuko huo unajulikana kama Mkoba, unalenga kutoa mitaji inayoanzia dola milioni moja hadi milioni 15.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GnUsR_MKBhc/U4NwzVNRxfI/AAAAAAAAFhY/Q83piHWQevw/s72-c/IMG_2076.jpg)
MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-GnUsR_MKBhc/U4NwzVNRxfI/AAAAAAAAFhY/Q83piHWQevw/s1600/IMG_2076.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QpQWJyAacNI/Vc4WNbebvxI/AAAAAAAHw0Q/LqNSl7V7aJU/s72-c/u1.jpg)
RAIS KIKWETE AZINDUA HATI ZA AHADI YA UADILIFU KWA VIONGOZI, WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI IKULU JIJINI DAR ES ES SALAAM LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-QpQWJyAacNI/Vc4WNbebvxI/AAAAAAAHw0Q/LqNSl7V7aJU/s640/u1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-U_tltq94G1g/Vc4WNWtlOLI/AAAAAAAHw0Y/M6ocTVnIUlk/s640/u2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-zVYh2YBy4Oo/Vc4WMtrhQvI/AAAAAAAHw0M/0CZ0XQc7T5c/s640/u5.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7Nr85iToPjE/Xuyv5d67UeI/AAAAAAALuls/wCd5IV8DjSY6B1VFHKTGao_2YiwXs4GPACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-19%2Bat%2B1.39.54%2BPM.jpeg)
SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA
Na. WAMJW-DSM
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9nsL2uSKVQc/XrLOlxD4oZI/AAAAAAALpTU/J1B_Or4uIH0bBIdLWg-PelRq2yBQCijwgCLcBGAsYHQ/s72-c/Serengeti.jpg)
SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA
Na Woinde Shizza,ARUSHA
SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.
Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Serikali ichangie sekta binafsi
10 years ago
Habarileo21 Aug
Sekta binafsi kudhibiti ujangili
SEKTA binafsi imeeleza nia ya kushiriki vita dhidi ya majangili wanaotishia maisha ya wanyama hususani tembo na wengineo kupitia mfumo wa ushirikiano kati ya sekta binafsi na umma (PPP).
5 years ago
StarTV19 Feb
SERIKALI: Tunatambua mchango wa sekta binafsi.
10 years ago
Habarileo07 Oct
JK aambiwa sekta binafsi imepata mafanikio
SEKTA binafsi hapa nchini inapata mafanikio makubwa kutokana na ushirikiano mzuri kutoka serikalini. Taarifa kutoka Ikulu jana ilisema Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Mizinga Melu alisema hayo wakati akizungumza na Rais Jakaya Kikwete jana jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo04 May
JK ataka sekta binafsi kukabili Ukimwi
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi kujihusisha zaidi katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, kwa sababu ugonjwa huo unaathiri uchumi, biashara na kuongeza mzigo wa gharama za uzalishaji kwa kampuni.