Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI: Tunatambua mchango wa sekta binafsi.

SERIKALI imesema kuwa inatambua mchango mkubwa wa sekta binafsi katika kukuza uchumi wa nchi na kuahidi kuendelea kuimarisha ushirikiano na sekta hiyo ili kuharakisha maendeleo ya wananchi kupitia sekta ya viwanda na biashara. Hayo yamesema na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, alipokutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Fedha …

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Nagu: Tunatambua mchango wa sekta binafsi

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu amesema Serikali inatambua mchango mkubwa unaotolewa na sekta binafsi, hususan wawekezaji wa ndani na wafanyabiashara katika kukuza...

 

10 years ago

Mwananchi

Nanai: Sekta binafsi ina mchango mkubwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Francis Nanai ameiomba Serikali kuongeza ushirikiano na sekta binafsi kwa kuwa inatoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya Taifa.

 

11 years ago

Michuzi

SHULE BINAFSI NA MCHANGO WAKE WA PEKEE KATIKA SEKTA YA ELIMU HAPA NCHINI

 SHULE binasi zina mchango wa pekee katika sekta ya elimu hapanchini,  kwa kutambua wingi wa watoto na ufinyu wa nafasi za shule za serikali zilizopo.
Hiyo imefanya serikali kuchagua wale wenye uelewa wa juu pekeekujiunga na shuleza elimu ya juu, huku wale ambao pengine kwa bahatimbaya wamekwama kufikia alama zilizowekwa na serikali, wakiokolewa nashule binafsi.
Hii imesaidia idadi kubwa ya watoto nchini kupata elimu ya sekondaritofauti na miaka ya nyuma ambapo watoto wengi waliokuwa...

 

5 years ago

Michuzi

MCHANGO WA SEKTA YA MADINI UMEZIDI KUIMARIKA NCHINI, SERIKALI TUNAFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA SEKTA HIYO- WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA


Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema mchango wa sekta ya madini umezidi kuimarika hapa nchini na kwamba Serikali kwa upande wake imeridhishwa na utendaji kazi wa sekta hiyo kupitia Wizara ya Madini.

Ameyasema hayo leo Februari 23,2020 wakati akizungumza na wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mwalimu Nyerere(JNICC), jinini Dar es Salaam leo.

Amefafanua kuwa sekta ya madini hapa nchini...

 

5 years ago

Michuzi

SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA


Na. WAMJW-DSM

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).

Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA


Na Woinde Shizza,ARUSHA

SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.

Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ichangie sekta binafsi

Enzi za Azimio la Arusha, njia zote kuu za uchumi zilimilikiwa na Serikali. Hivyo usafirishaji, shughuli za kibenki, hospitali, shule, posta, simu, maduka, viwanda na kadhalika, vyote vilimilikiwa na Serikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali, sekta binafsi kuinua elimu

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema itaendelea kushirikiana na watendaji na sekta binafsi katika kupatia ufumbuzi wa ukuaji wa elimu nchini ili kufikia malengo ya Matokeo Makubwa Sasa...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali, sekta binafsi zatakiwa kushirikiana

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais Utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Omari Issa amesema kuna umuhimu wa kuongeza ushirikiano baina ya Serikali na sekta binafsi ili kukuza kampuni kubwa zenye ufanisi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani