Mauaji ya Kiteto; Umbulla, Mbwilo wang’olewe
KUFUATIA mauaji ya watu takribani 30 kuuawa kinyama wilayani Kiteto, bila kuwepo uwajibikaji, ni wakati muafaka sasa Mkuu wa wilaya hiyo, Martha Umbulla na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Eraston...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Jun
Viongozi wauza ardhi wang’olewe-Lowassa
WANANCHI wa Jimbo la Monduli wilayani Monduli mkoani Arusha wametakiwa kuwang’oa madarakani viongozi wa vijiji wanaoshiriki kinyume na utaratibu kuuza ardhi bila ya kufuata utaratibu kwa kuendekeza zawadi ya bia na nyama choma.
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Kamati ya Bunge yataka watendaji Maliasili wang’olewe
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Mauaji ya Kiteto, Siha yakome
KWA muda mrefu kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari kuhusu ugomvi kati ya wakulima na wafugaji wanaogombania maeneo hapa nchini Ugomvi wa pande hizo mbili zimekuwa zikisababisha vifo, majeraha,...
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Mauaji kiteto kujadiliwa Bungeni
BUNGE limepeleka kamati ndogo, chini ya uongozi wa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka, kwenda kuchunguza mauaji ya kutisha yanayoendelea kutokea wilayani Kiteto mkoani Manyara. Hatua hiyo ilitangazwa jana Bungeni...
11 years ago
Tanzania Daima09 May
DC adaiwa kuchochea mauaji Kiteto
MKUU wa Wilaya (DC) ya Kiteto mkoani Manyara, Martha Umbulla, amedaiwa kuwa chanzo cha kuchochea mauaji ya wakulima na wafugaji. Madai hayo yalitolewa na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Mauaji ya wakulima tena Kiteto
MAPAMBANO kati ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, yanaendelea kushika kasi na kusababisha watu wanne kupoteza maisha. Hali hiyo ilibainishwa na Katibu wa wakulima wilayani hapa,...
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Mauaji yazidi kutikisa Kiteto
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Mauaji ya Kiteto yalitikisa Bunge
JESHI Polisi linawashikilia watu watano kuhusiana na mauaji katika mapigano kati ya wafugaji na wakulima katika kijiji cha Matui wilayani Kiteto.
Katika mapigano hayo, watu wanne waliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Akitoa kauli ya serikali bungeni jana, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mathias Chikawe, alisema mapigano hayo yalitokea juzi katika wilaya hiyo.
Chikawe alisema Jumanne iliyopita katika kijiji hicho, mkulima Hassan Kondeja, mkazi wa Kijiji cha Bwawani, alikwenda katika Kituo cha...
10 years ago
Mtanzania01 Oct
Magufuli: Nachukia mauaji ya Kiteto
*Asema hayupo tayari kuongoza Serikali inayovuja damu
Na Bakari Kimwanga, Kongwa
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema amechoka kusikia mauaji ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto.
Mgombea huyo alisema akichaguliwa kuwa rais atashughulika na Mkuu wa Mkoa (RC) na Mkuu wa Wilaya (DC), atakaowateua iwapo mauaji hayo yataendelea.
Alisema Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RPC) atakayeteuliwa anapaswa kujipanga vizuri kusimamia amani katika eneo hilo la sivyo...