WANANCHI WATAKA WAELIMISHWE KUYATAMBUA MABOMU
Bomu lililookotwa maeneo ya Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. BAADHI ya wananchi wameitaka serikali iwape elimu ya kutambua zana za milipuko kama vile mabomu ili kuepusha madhara pindi wanapoyaokota au kuyakaribia. Kauli hizo zimetokana na kuongezeka kwa matukio ya kuonekana kwa zana za milipuko na mabomu ambapo mengine yameokotwa sehemu mbalimbali nchini, likiwemo bomu lililoonekana juzi maeneo ya Kijitonyama,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 Jul
Nape ataka wananchi waelimishwe
KUTOKANA na vurugu zilizosababisha na gesi asilia mkoani Mtwara mwaka jana, Serikali imeshauriwa kuwape elimu wananchi kwanza kabla ya kutekeleza mradi wowote katika eneo husika. Ushauri huo umetolewa juzi na...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Wananchi waelimishwe kuhusu ebola
MIONGONI mwa habari kubwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa ni kusambaa kwa kasi ugonjwa wa ebola ambao hadi sasa hauna tiba. Ebola umezikumba nchi nyingi za Afrika Magharibi;...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-m1SUJct1WPE/Xs02AlWp4TI/AAAAAAAAhp8/61FgMdLMrI0SnL39yRuFA6LmIu7W6eOhwCLcBGAsYHQ/s72-c/images.jpeg)
Haki ya kutoa Maoni, wananchi waelimishwe
![](https://1.bp.blogspot.com/-m1SUJct1WPE/Xs02AlWp4TI/AAAAAAAAhp8/61FgMdLMrI0SnL39yRuFA6LmIu7W6eOhwCLcBGAsYHQ/s640/images.jpeg)
UHURU wa kutoa maoni, kujieleza na kupata taarifa ni mojawapo wa Haki za Msingi za raia wa Tanzania kama ilivyosisitizwa na Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata hivyo upo mkanganyiko katika kutafsiri maana ya Uhuru huu uliojikita zaidi katika kukidhi matakwa na maslahi fulani.
Kwa upande mmoja, wapo wanaotafsiri dhana ya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza kama Haki ya raia yeyote kuwasilisha mawazo na fikra zake bila vikwazo. Wanaoamini...
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Mabomu yatumika kutawanya wananchi Dar ,Tanga
10 years ago
CloudsFM10 Apr
Mgomo wa madereva,polisi wapiga Mabomu ya machozi kutawanyisha wananchi
MADEREVA wa mabasi ya mikoani na daladala wa jijini Dar leo wamefanya mgomo kupinga agizo la Mamlaka ya Kudhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) lililowataka kwenda kusoma katika Chuo cha Usafirishaji (NIT).
Mwandishi wetu amezunguka maeneo tofautitofauti jijini Dar na kujionea hali halisi ya mgomo wa mabasi ya mikoani pamoja na daladala...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N3a4E7n0BnfGVkckanxpZRu*9pV*qjIVC*9DdvDkbdEIyyjVEAP6hoPgTS11kFr64q8pYOwVUd3AT-cQcIPVzdsJHqqkyZmh/breakingnews.gif)
WANANCHI KAWE WAFUNGA BARABARA WAKIDAI MATUTA, WATAWANYWA KWA MABOMU YA MACHOZI
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Wananchi wataka mapato, matumizi
10 years ago
Mwananchi19 Nov
Wataka muswada wa ubia uwanufaishe wananchi
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
‘Wataka wananchi wajadili, wamilikishwe gesi’
VIONGOZI wa dini wameitaka serikali kuwashirikisha wazawa katika umilikishwaji wa rasilimali ya gesi na kutoa fursa kwa taasisi nyingine kupata nafasi ya kujadili suala la gesi asilia. Azimio hilo lilitolewa...