Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIMENUKA BUNGENI; WABUNGE WAPIGA KELELE WAKITAKA MAJIBU KURA YA MAONI

Mbunge wa Ubungo (Chadema) akichangia mada bungeni. SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameamua kulihairisha bunge hadi hapo baadaye baada ya vurugu kuibuka kwa baadhi ya wabunge wakitaka hoja ya kuhairisha mchakato wa kura ya maoni ijadiliwe na kura ya maoni isogezwe mbele maana muda hautoshi. Spika wa Bunge, Anne Makinda. Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika alisimama na kusema: "Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

wapiga kura wampongeza jerry silaa kwa kushinda katika kura za maoni jimbo la ukonga

 Wananchi wa Jimbo la Ukonga wakiwa nyumbani kwa mgombea ubunge wa jimbo hilo aliyeibuka kidedea, Jerry Silaa.Mgombea Jerry Silaa akishukuru wapiga kura baada ya kuibuka kidedea kwa kupata kura 10,382 huku mshindani wake PATEL Ramesh akipata kura 7355. Mgombea ubunge huyo aliwashukuru wananchi na wanaCCM waliokwenda nyumbani kumpongeza na kuwapongeza wagombea wenzake wote,na kuongeza kuwa wiki moja waliyokuwa pamoja amejifunza mengi, anaamini watashirikiana kufanikisha Ushindi wa CCM October...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

9 years ago

Michuzi

Majibu kwa dukukudu kuhusu kura ya maoni ya Uchaguzi Mkuu ya TWAWEZA


Majibu kwa Dukuduku Kuhusu Utafiti Wa Kura Ya Maoni Wa TWAWEZA by Evarist Chahali

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiga kura wanavyowalaghai wabunge UG

Kiwango cha wapiga kura kuwalaghai wawakilishi wa bunge nchini Uganda ni cha kutisha.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuboresha daftari la wapiga kura kuelekea maoni

Mathias ChikaweSERIKALI imesema itaboresha daftari la kudumu la wapiga kura kabla ya kura ya maoni kuhusu Rasimu ya Katiba mpya.

 

10 years ago

Mtanzania

Vurugu kura ya maoni bungeni

NA WAANDISHI WETU, DODOMA NA DAR
WABUNGE wa upinzani jana walisababisha kikao cha asubuhi cha Bunge kivunjike, baada ya kusimama na kutaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda atoe kauli juu ya mustakabali wa uandikishaji wapigakura na hatima ya kura ya maoni.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, alilazimika kuahirisha kikao hicho baada ya wabunge hao kusimama wote na kuwasha vipaza sauti wakimtaka Pinda atoe kauli, kwani kwa muda mrefu Serikali imekuwa haitoi majibu ya suala hilo.

CHANZO CHA VURUGU
Dalili za...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge 51 waanguka kura za maoni

Wakati vyombo vya juu vya baadhi ya vyama vya siasa vikiwa vimeanza hatua za mwisho za kupitisha wagombea wa ubunge na udiwani tayari kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, hadi juzi wabunge 51 walikuwa wameanguka kwenye kura za maoni za ndani ya vyama vyao.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge Chadema waangukia katika kura za maoni

>Kura za maoni ndani ya Chadema zimeanza kuwa chungu kwa baadhi ya wabunge. Mbunge wa Mbulu, Mustapha Akoonay na mwingine wa Viti Maalumu, Susan Lyimo (Kinondoni) jana waliangukia pua, huku mwenzao wa Karatu, Mchungaji Israel Natse akitangaza kuachana na ubunge na kurejea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).

 

10 years ago

Habarileo

Waziri mwingine, wabunge 4 waanguka kura za maoni CCM

SIKU mbili baada ya mawaziri watano kushindwa katika kura za maoni ya ubunge ndani ya CCM, waziri mwingine, Gaudentia Kabaka anayeshughulikia Kazi na Ajira, naye amedondoshwa katika jimbo la Tarime Mjini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani